Sisi next ni vigongo tu Man city kisha wewe hapo duh!! Jambia letu ni lile lile jiandae tu . .......
hehehe leo wameotewaMweeeee jamani nyie eeeeee lol
mbona sasa hivi nimeanza kuwaogopa arsenalDuo zangu zooooooote hao Man City muwaduge ili watoke nyuma yangu.
Mechi na nyie sitii neno usije ukaninuia lol!
Asante mumy lakini salamu hizi ungenipea kule nyumbani nikuandalie na yale majogoo tuliyoyachinja...... Hongera nawe pia mmekuwa wataam km Mcharo!!! Lol
mbona sasa hivi nimeanza kuwaogopa arsenal
Yani kaka yangu nina kismat hadi najiogopa
mbona sasa hivi nimeanza kuwaogopa arsenal
Tunatisha na Chelsea lazima tuwanyuke tu na hivyo kupunguza gap na kuwa 4 points na wao wakiwa na one game on hand wakifungwa mchezo mmoja na kutoa draw miwili ya iliyobaki na sisi kushinda zote zilizobaki itakula kwao kwa raha zetu.
hiyo ngumu sanaTunatisha na Chelsea lazima tuwanyuke tu na hivyo kupunguza gap na kuwa 4 points na wao wakiwa na one game on hand wakifungwa mchezo mmoja na kutoa draw miwili ya iliyobaki na sisi kushinda zote zilizobaki itakula kwao kwa raha zetu.
Tunatisha na Chelsea lazima tuwanyuke tu na hivyo kupunguza gap na kuwa 4 points na wao wakiwa na one game on hand wakifungwa mchezo mmoja na kutoa draw miwili ya iliyobaki na sisi kushinda zote zilizobaki itakula kwao kwa raha zetu.
Ameshindaaaaaaaaaaaaa lol
BAK huo mchezo hauko mbali! Sisi tutakuja kutafuta draw tu hapo kwenu!
Kwanza huo mchezo tuweke pembeni...ngoja tumalizane na ManU kwanza!
Nani awape draw Mkuu Ntuzu!? Siku hiyo ndio tutacharuka ili kuhakikisha tunawanyuka....bado tuna nafasi nzuri sana ya kuwaondoa kileleni kama mtazembea katika mechi zilizobaki.
When you believe in your ability to excel, anything is possible under the sun Mkuu Ntuzu.
Hizi tambo mkuu hebu tuziache tutakuja kuziongelea sn huo mchezo utakapo karibia! Tena Mimi binafsi ntakuja kuweka kambi ktk thread yenu!
Karibu sana usaidie kuchangamsha jukwaa letu.Siku hiyo itakuwa patashika nguo kuchanika maana mshindi wa mchezo huo kama kutakuwa na mshindi basi ndiye atakuwa amejiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji mwaka huu. Tukishinda basi itakuwa ni motivation kubwa sana kwetu kumaliza kwa kishindo na mkizembea tu katika mechi zenu zilizobaki itakula kwenu.