Sizani km atauzwa ila stapewa mkataba was mwaka mmoja na km atakubali taasisi atabaki!
Blazaaa josee anataka nini sijui.. Yani wakali huwa anawauza afu anawaleta watu wake.. Ananiboaga sana kwa hili
wana Chelsea jiunge nasi on whatsap group world sport kila leo update tuma ujumbe on +15155180006.
Chelsea inajengwa for future mkuu! Sasa km wachezaji wanataka maslahi yao kuliko ya timu haina bundi kumruhusu aondoke!
Aaah mkuu josee kazidi aseeh.. Hivi wale walioondoka ni sawa na cuadrado!? Huyu kipa anafaa sana bado
Niunge 0713 580 332
Ok Chelsea fans.... Debate time. Both Matic and
Fabregas are on 9 yellow cards for the season.
If either of them pick up a 10th in the QPR
game they would be suspended for two games
which would be the Man U and Arsenal games.
If the decisions was yours, would you leave
them out of the match day squad for QPR? Play
them? Or bench
Its a headache hapo labda kwa game ya QPR amweke Mikel Matic apumzike...au acheze na Oscar nafasi ya Fabregas...Hazard apige 10..willian kushoto n cuadrado kulia
Mentor uwezekano ni mdogo sn hawa watu kukosa kadi za njano ktk michezo hiyo hasa Matic. Kwahiyo ktk michezo hiyo ya Man na Arsenal kuna mchezaji mmoja lazima tutamkosa! Au wote kutokana na hila za waamuzi!
Ila mchezo na QPR wapangwe wote ili kujihakikishia ushindi hayo ya kadi yatajulikana mbele kwa mbele!
Am just thinking our bench has enough quality kiasi kwamba sina hofu sana...
Nafasi za Matic na Fabregas zinaweza kuwa replaced na; Zouma, Mikel, Ake, Oscar, Ramires, na dogo mmoja jina limenitoka wa youth team...sina hofu kabisa hata wakipewa red am sure kwa mahali tulipofika we are sooo motivated for the cup yeyote atakayepangwa ata perform kama fainali tu!!!

Ni sahihi kabisaaa... Zouma ashike CDM, kwa fab apewe Ramirez.. QPR ni gemu sahihi kwa Oscar ila kwa utd na gunners tunamuhitaji John Obi Mikel "MSWAHILI"... Mbele Remy na King Didier Yaves Drogba (Hasa kwa gunners, Atawafunga huyu)

Mara nyingi kumweka Mikel kunapunguza sana speed ya mchezo sipendelei yeye atumiwe...nachojua wote wawili hawatakosa mechi moja pamoja...so najua Mou atajua kupanga kikosi kuendana na muda huo ila sio Mikel.
We need to press these people. Rami atafaa sana kwa hizo game mbili..oscar acheze game ya QPR...Remy sadly ndo striker tunayemtegemea ingawa bado hajawa clinical kivile ni vile tu anajituma.
Am sure in one of these games lazima Zouma aanze kama CDM.
Kwa ManU Obi na Ramires na Oscar hawa wanatakiwa kuanza kwasababu! Tunahitaji kucheza mpira wa kasi na kushambulia na ukumbuke pale mbele atakuwepo Remy striker mwenye kasi!
Ule wa Arsenal tunahitaji kujilinda sn hivyo Obi,Zouma na Ramires wanatakiwa wawepo ili kuvunja vunja tule tukina Sanchez na Cazorra na Ozil...mbona kz wataipata hawa gunners.