ligera nakubaliana na wewe hasa ktk maswala kadhaa.
Swala la kwanza huo mchezo ata sare ni nzuri kwetu ndio maana tunatakiwa kujirinda Zaidi. Huku kujirinda kunatakiwa kujengwe kwa viungo imara Wa kati kwa Matic na Obi kucheza pale kati then nyuma ya Remy acheze Faby...hii itapunguza uimara Wa ManU kwa katiksti. Kwasababu wakipangwa viungo wawili ma DM watampunguzia kz Faby ya ukabaji na kubaki mbele akimsaidia Remy kutupia.
Na pili winga za ManU sio tishio sn. Huyu Young na Mata watakumbana na Azp na Iva.....lkn kz kubwa atakua nayo Valencia kwa Hazard na Blind kwa Willian...ila Mimi ningependa sn kumuona Ramires akicheza winga kulia na Willian kuanzia bench hasa baada ya kuwasoma wenzetu.
Tunahitaji kua na kikosi kigumu kweli kweli kuhakikisha Fulaini na wenzake wanakua vibonde!
mimi nataka tu attack kuanzia mwanzo...weka Oscar willian fabregas na Hazard...!
I believe kwenye ability ya ku defend ya Iva, Cahill, Terry na Azpi (huyu dogo lazima aingie kikosi cha mwaka cha ligi).

Kwangu Mimi... Kikosi kisiguswe... Labda kama Remy akipona anaweza kuja dimbani ama kama vipi akatokea bechi kama kawa.. King.. Mkubwa na wanae yupo.
Oscar aanze bench.. Ili akiwa anaingia awe ameshajua cha kufanya pale kati.. Kama Jana tu.
Cuadrado.. Blazaa Jose asitake kuprove yuko right kwa huyu bwana mdogo.. Atuachie W22 apige kazi.
John Obi Mikel.. Natamani kumuona MSWAHILI huyu kwenye hii mechi... Ila hata akitokea benchi inafaa bado.
Naona Obi unampa chapuo kuanza hapo kati akiwa na Matic...kwanini unapenda kumuona huyu Obi?
Ni kweli kamanda... Sababu kuu ni hizi..
1.Jamaa yuko strong physically
2.Uwezo wake wa kupora, na kukaa na mpira bila kunyang'anywa kirahisi... Kukaa na mpira kutasaidia kushusha tempo ya utd.. Japo kimtindo kunaeza affect kwetu
3.Long pass... Jamaa mtaalamu hapa, hasa ukiangalia matic sio master wa hili.
4.mentality na uzoefu pia... Ila tatizo jamaa huwa mzito kidogo.
hivi Ntuzu game ya jana uliona mchango wowote positive kutoka kwa Ramires?
Kila la heri Liverpool Mungu awape haja ya Moyo wenu.Mna kazi kubwa mkikutana na Majogoo!Kwa hasira za kupoteza games mbili najua hata ww mwana Chelsea umeanza kuyaogopa Majogoo
Hakuna anaeweweseka Mkuu. Hapa tunajaribu kuangalia namna ya kuwakabili ManU.
Kwangu Mimi... Kikosi kisiguswe... Labda kama Remy akipona anaweza kuja dimbani ama kama vipi akatokea bechi kama kawa.. King.. Mkubwa na wanae yupo.
Oscar aanze bench.. Ili akiwa anaingia awe ameshajua cha kufanya pale kati.. Kama Jana tu.
Cuadrado.. Blazaa Jose asitake kuprove yuko right kwa huyu bwana mdogo.. Atuachie W22 apige kazi.
John Obi Mikel.. Natamani kumuona MSWAHILI huyu kwenye hii mechi... Ila hata akitokea benchi inafaa bado.
Utd Wanaweza wakachanganyikiwa na kuomba mechi iishe mapemaaa