Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,430
Hiyo muhimu sana mkuu
True Blue, love you Chelsea...
kwi kwi kwi KTBFFHBREAKING NEWS:
Ajali nyingne ya tokea basi la Manchester united lililokua linafnya safar zake kutoka Mjini Manchester kueleke london limeacha njia na kutumbukia darajani. Mpaka sasa aliyefarki ni 1 na Majeruhi ni wengi sanaaaa chanzo cha Ajali ni mwendo kasi wa Oscar,Matic,Zouma,Harzad, na Fabregas..
Yaani hiki kikosi cha leo ilipoanza nilijisemea mou anatania nini!...yaani kama mzaha vileYaan ckutegea kabisa kama morinho angekuja na kikosi kama hicho leo...kaua wingazote za man u..dimba la kati acha kabisaa...jamaa ckudhan kama osca angeanza badala ya willium..jama anaplan kali sana
week lote kelele tupu,uzuri wa chelsea wanatumia chance moja,sasa hangaika kurudishawalipoifunga man city goli nne wakajiamini sna..kuna wenigne wakaja humu na katuni za van gal kashika kichwa cha morinho...kejeli zikawa nyingi...pasipo kujua kwamba chelsea inaizid man u maeneo mengi ndani ya uwanja....
hahahahahhahahahahahahhahahahhahahahhahahahahahahahhahahahahahaHongera sana best yaani leo ndo umeona unacheza nami ndo unajitokeza? Mzima lakini.....
Kwan mourinho aliweka wangapi???Naona line up lvg anajaza viungo watano kati anatafuta droo
BREAKING NEWS:
Ajali nyingne ya tokea basi la Manchester united lililokua linafnya safar zake kutoka Mjini Manchester kueleke london limeacha njia na kutumbukia darajani. Mpaka sasa aliyefarki ni 1 na Majeruhi ni wengi sanaaaa chanzo cha Ajali ni mwendo kasi wa Oscar,Matic,Zouma,Harzad, na Fabregas..
huyu everlenk ingetokea wakashinda humu ndani leo tusingekaa....lakini ndo hivyo Mungu sio wasira!!