Huo uwezo watoe wapi?
Arsenal wangependa kushinda lakini uwezo hawana.
Watajitahidi kupunguza idadi ya magoli.
Hakuna washabiki wanajiamini kwa tambo na mbwembwe kama nyinyi lol, yaani wewe, Ntuzu, Mentor, Manumbu, b5-click na kunguru mjanja ni kwere asee
Ila match ya Arsenal sijui kama mtatoka salama
Kuna taarifa kuwa aseno wakitufunga weekend ijayo mashabiki wa man U wataweka kambi humu kwa mwezi mzima.
Wageni wote wanashinda
Hahahaha!!!! Kwajins mlivyonitesa omba kikombe hicho mkiepuke...... Nitakuwa Ars kwa uhamisho wa bure kabisa nikiliongoza jahaz mm mwenyewe.
binafsi bado naumizwa na kitendo cha kutokuwa sisi tunaocheza na Barca. imagine tungekuwa tumecheza na Barca J5 iliyopita darajani. kisha Man u wkend iliyopita. halafu leo tunakipiga na Barca tena. halafu coming wkend tunacheza na Arsenal!! Yani
Mwanakwetu Hizo zote ushinde tu unamkaangia Mungu mayai eeeh!!!!........ndo maana mlitolewa mapema ngoja sisi mwakani tuwape somo.......
we mwanakwetu una ndoto wewee. ila nakupendea hilo...fantasy! kwa fantasy watu hujenga maghorofa huku wakilala kwenye mafuriko kama ya pale jangwani!!!
Mwanakwetu kwa sababu ya maneno yenu yananifanya niote tu may be my dreams will come true....leo na wewe asubuh asubuh ukaamka tena na sisi duh!! Nikachoka kabisa........
Kuna taarifa kuwa aseno wakitufunga weekend ijayo mashabiki wa man U wataweka kambi humu kwa mwezi mzima.
Hahahaha!!!! Kwajins mlivyonitesa omba kikombe hicho mkiepuke...... Nitakuwa Ars kwa uhamisho wa bure kabisa nikiliongoza jahaz mm mwenyewe.
Watajitahidi kupunguza idadi ya magol kama sisi siyo eeh???
Shauri yenu Wenger sikuhizi kawa mtamu mcharo haoni ndani.... Ile kasi ya wale watoto sijui?? Labda mtumie unazi wenu....... Lol kunguru mjanja ameshaniahidi hata kwa njia za panya watashinda...
Nilishajibu hili swali tena humuhumu, aliniuliza jamaa yangu agosti 8, hukumbuki Mzee?
Hakuna washabiki wanajiamini kwa tambo na mbwembwe kama nyinyi lol, yaani wewe, Ntuzu, Mentor, Manumbu, b5-click na kunguru mjanja ni kwere asee
Ila match ya Arsenal sijui kama mtatoka salama
Watajitahidi kupunguza idadi ya magol kama sisi siyo eeh???
Shauri yenu Wenger sikuhizi kawa mtamu mcharo haoni ndani.... Ile kasi ya wale watoto sijui?? Labda mtumie unazi wenu....... Lol kunguru mjanja ameshaniahidi hata kwa njia za panya watashinda...
Aiseee!! Sikujua sisi ni wakali na maarufu hivi yaani bado mnatudiscuss tu hadi leo!!!! Kumbe tungeshinda tungepoteza wengi humu eeeh!!
Shauri yenu nyie endeleen kudiscuss Manu washika bunduki wameandaa silaha za kinyuklia wakipiga moja tu daraja lote linabaki vipande vipande......
JOSEPH
cc. Ntuzu, Mourinho...