Ha ha ha ha ha, hawa washika bunduki na mitutu wanakuwa nayo mingi sana na wanajiandaa vizuri sana, ila sasa wakianza kufyatua unashangaa maji yanatoka tena bora yawe ya moto hata yaunguze, yaan yanatoka baridi kabisa.....
siku hizi Wenger mtamu kumbe??
haya njoo useme haya maneno jumapili..tarehe 26.
Courtouis;
Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta;
Matic, Fabregas;
Hazard, Oscar, Willian;
Remy!!!
Ushindi ni wetu..
Haya mimi chichemi tena .....siku hiyo nitakuwa pembeni kabisa na kahawa yangu na kashata zinashuka taratibu nacheki game bila presha yoyote ya kushangilia kama De Gea last Saturday..... Lol
Hiyo nzuri, ila sasa kwa vile unashabikia Arsenal siku hiyo chonde chonde usije ukajiunguza na hiyo kahawa.
Ukimwona Hazard golini kwa Arsenal nakushauri na wewe weka kikombe cha kahawa pembeni
Hiyo nzuri, ila sasa kwa vile unashabikia Arsenal siku hiyo chonde chonde usije ukajiunguza na hiyo kahawa.
Ukimwona Hazard golini kwa Arsenal nakushauri na wewe weka kikombe cha kahawa pembeni
View attachment 245541
Picha inajieleza... ama nini everlenk
Hongera kwa Kutimiza miaka 28 mwanetu..
jina: John Michael Nchekwube Obinna
amezaliwa: 22-04-1987
#KTBFFH
kunguru mjanja Mentor Ntuzu Manumbu
Sishabikii Arsenal ila kuna maagizo nmempa Eli79 ayatekeleze kama hizi kelele zinaendelea, ila sikudanganyi wakishinda nitashangilia ujueee!! Naweza nikaweka kambi humu ya mwez mmoja lol
TOUCHES IN OPPOSITE AREA: Look closely and observe hiyo 71% ilichezewa eneo gani la uwanja.
Mimi nasema hivi sikuona game lolote bora walilocheza Man utd (niiteni hater tu) but as a football fan kile walichofanya ni kujichisha....you don't stay with the ball kama unataka ushindi. And further more, wanaokaa na mpira sana eti ni mabeki. Mwisho unasema the best team lost..how so!!!!!!
Happy birthday Obi live long life.............. Mentor naomba status za huyu nione Kama naweza fimkiria........ila ni mbyaaaa
Wewe jamaa hata kama unazi umezidi. Mbona hizo takwimu zinakung'ong'a?!?
Rentboys walikuwa na 16 touched katika United's area na United wakiwa na 24 touches. Sasa hapo bado unabisha kuwa Rentboys hawakupaki basi?!? Mpira umechezwa zaidi katika eneo la Rentboys.
Angalia hizi analytics za whoscored.com uone wapi mpira ulichezwa sana. Nenda kwenye kipengele cha heatmaps.
Chelsea-Manchester United
Nahodha wenu mwenyewe alikiri hivi: "We've blipped a bit but we are still picking up results."