Hili neno umelitumia kwa bahati mbaya? Au ndio waamuzi wamejishindia bahati nasibu?Karibu darajani tarehe 9 ushuhudie Chelsea akikabidhiwa kombe mbele ya LFC....Sasa umekua mdogo km piritoni baada ya kuona ndoo inatua darajani kivyovyote.....
Daraja linaweza kubomoka tarehe 8 na hiyo tarehe 9 ikawa ni kutangaza msiba redioni.Karibu darajani tarehe 9 ushuhudie Chelsea akikabidhiwa kombe mbele ya LFC....Sasa umekua mdogo km piritoni baada ya kuona ndoo inatua darajani kivyovyote.....
Man City kwa habari nilizozinasa mimi hawana huo umafiaso. Wewe unafikiri umafiaso wa Chelseamovic ni siri?Vp na wale matajiri wa kiarabu wa Manchester ?
Man City kwa habari nilizozinasa mimi hawana huo umafiaso. Wewe unafikiri umafiaso wa Chelseamovic ni siri?
Hili neno umelitumia kwa bahati mbaya? Au ndio waamuzi wamejishindia bahati nasibu?
Daraja linaweza kubomoka tarehe 8 na hiyo tarehe 9 ikawa ni kutangaza msiba redioni.
Piritoni unazitumia? Unapokuwa unaumwa na nini?
Man City kwa habari nilizozinasa mimi hawana huo umafiaso. Wewe unafikiri umafiaso wa Chelseamovic ni siri?
Hivi huu umafia aliufanya mpaka ulaya alivyoshinda lile Kombe kubwa au unaishiaga huku huku U.K?
Nimeshawawekea order ya ndoo 3 Segerea ili ziwe nne, mkichanganya na lile la mbuzi.Nifungwe huo mchezo lkn ndoo lazima nibebe...utake usitake.
Hee kwani Chelsea imekuwa anti? Kama Anti Ezekiel?kwa hiyo sisi lazima tuamini habari zako wewe Anti-Chelsea?
unacheza makida makida ha ha ha haha....
Matumaini yako wewe ni yepi? Andika kidogo, fafanua kidogo.Haya ni maneno ya mtu aliyekosa matumaini.
Nimeshawawekea order ya ndoo 3 Segerea ili ziwe nne, mkichanganya na lile la mbuzi.
Ngoja msimu uishe ili nikuite hapa unioneshe hiyo ndoo uliyobeba. Unakumbuka sababu tuliyoambiwa ilimuondoa Kolimba? Kapime kabisa moyo wako.
wildfish umeiweka vizuri sana hali aliyonayo huyu mwenzetu. binafsi niliona mgonjwa mkubwa wa neva za ufahamu. kama hii ndo inayoitwa haters sasa nimeamini kumbe wapo kweli haters. mtu anapayuka tuHaya ni maneno ya mtu aliyekosa matumaini.
wildfish umeiweka vizuri sana hali aliyonayo huyu mwenzetu. binafsi niliona mgonjwa mkubwa wa neva za ufahamu. kama hii ndo inayoitwa haters sasa nimeamini kumbe wapo kweli haters. mtu anapayuka tu
Ni ushauri tu, kapime . Hatutaki kusikia ka-aorta kalikuwa dhaifu.Sina hayo magonjwa ya Kolimba...mi Niko fiti km chuma.
Hizo ndoo za segerea utabeba wewe na timu yako mi nabeba kombe la Mbuzi na EPL.... Kz kwako na uchambuzi wako.....