The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Sasa ndio mtafahamu kuwa mlibebwa. Costa angelipata haki yake (kadi nyekundu) kwa uhuni alimfanyia Koscielny mlikuwa mnatandikwa viboko 3,4, 5.
Mnachonga midomo kiunazi tu, ninyi si katika wale wanaopenda kandanda, mnapenda mieleka na kushinda mechi vyovyote iwavyo.
Itakula kwenu sasa kwa sababu waamuzi watakuwa wanawatupia macho kwa umakini zaidi.
Unasemaaaa ??? Hahahaa kwa mfano ipi?
Wenzio wanajua sana tu....
Hata Howard analijua hilo
costa ilibidi afungiwe nusu msimu. pia costa alifaa kuwa bondia kabisa.
#wazee_wa_mbeleko
Mimi nilijua utakuja na fact kumbe bla bla...
Toa reference
No big deal..we have Remy and Falcao!!!
Mzee wa kujiponya maumivu.......khe khe khe kheeeeeeeeeeeer ding dong dingBesides, everyone scores at Chelsea!!!
Kwa hiyo unategemea waamuzi ili kuishusha Chelsea? Una uhakika gani kama Costa angepigwa red Chelsea angefungwa hizo goli ulizozitaja? Wenger ni mteja kwa Moureen na atasubiri sana!!
Binafsi nimefurahi Costa kupigwa ban ili tumuweke Remy,nyie wenyewe ndio mtajuta na kuanza kulia lia Oooh! bora hata Costa huyu Remy ni moto!!
Tulieni acheni kufanya Sherehe zisizo na maana,vichapo vipo njiani vinakuja
Fact?! He heheeeee!! Unajitoa ufahamu mapema hivi?!
costa ilibidi afungiwe nusu msimu. pia costa alifaa kuwa bondia kabisa.
#wazee_wa_mbeleko
Pacha wewe ni moto wa kuotea mbali ...nimekushindwa maana sio kwa sebene lile duuuh
Hahahahahaha mumy acha kabisa jana news za Costa zimenikuta pazuri Kula sebene sana hapa kila kiungo kinalia jinsi jana kilivyohusika ahahahahaha......mumy watu walitupa ahadi za kunya kitandani na kutembea uchi hawajatekeleza ,Mimi nimesema ntafungua kigodoro nimetekeleza hahahhahahha
Dunia nzima inajua Man u ndio team inayoongoza kwa kubebwa na Marefa,naona mmekuwa wepesi sana wa kupoteza kumbukumbu!!
Costa angetolewa msingefunga...
Kwanza wote mngekuwa pungufu.
First half mlikuwa wote mngeonyesha ubabe wenu tuone sasa.
Second half kila red card moja na goal moja. Mnecheza na watu 9 nyie 11 na refa wenu 12 bado unaita ni ushindi?
Wenger alikuwa mteja wenu enzi mnaitwa Chelsea ila now ni chelshit kwa wenger hamsogez labla mbebwe.
Umesahau fainal ya kombe la sahani? Duuu wenger mbayaaaaaa
"Kombe la Sahani" hahahahaaaaaa!! Kumbe unapigia kelele game moja!! Mwanitesa utd kazi mnayo
Kumbe unamuogopa Costa kiasi hicho?!!
Mpaka unatamani angefungiwa nusu msimu!!
Costa akirudi atakuwa kisha pewa maneno na kujirekebisha tabia kwa hiyo kazi atakayokuwa kabakiza ni kutupia Mipira nyavuni tu.
Kama hiviiiiii eeeeeeeeeeeeeee
Yaah ni game moja baada ya kuhama from chelsea to chelshit na bado hahahaaaaa wenger sio level yenu tena nyie labla muwafunge jkt ruvu fc
Wenzio wanajua sana tu....
Hata Howard analijua hilo
Unajiliwaza kwa kuangalia table naona! Ila usisahau aliyepo position 15 na position 6 tofauti ni 2 pts tu....achana na msimamo wa league for now utakudumaza akili na kukuongopea tu!!
"Kombe la Sahani" hahahahaaaaaa!! Kumbe unapigia kelele game moja!! Mwanitesa utd kazi mnayo
Hakuna team inayoitwa Chelshit labda huko kwenu Mbagala, teh! teh!