The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mfalme usiye na maarifa.
Umeandika nini hapo?
Kwa nini Costa apewe maneno? Amefanya nini?
Costa ana tabia chafu, mbaya? Ipi hiyo?
Teh! Teh!Naona umeamua kujitoa ufahamu kwa makusudi kabisaaaa!! Teh! Teh!
Cute
Kama Mwamuzi aliona na kufanya maamuzi sahihi. Costa alikuwa apate ile kadi ya rangi ya damu. Mchonga meno angesalimika na Chelsea wangesoma ubao ukisomeka 3,4,-0. Pia kama Arsenal wangetangulia kufunga Santi C asingejipeleka kupata kadi ingine ya manjano
Chelsea wangebakia 10 au 9, na Arsenal wangekuwa na wachezaji 11 uwanjani.
Mwamuzi aliamua kuibeba Ze bluuzz.
Mimi nilipendelea tupate burudani kwa kuwepo wachezaji 22 uwanjani kwa muda wote wa mchezo, lakini "dark art" haikuruhusu hilo litokee.
Ntuzu na Mentor sijui wangesafirishwa matibabuni India kama mwamuzi hakubuni matokeo ya kuipa ze bluuzz point 3?

eti nasikia EPL imeisha
Usiseme hivyo utawaua chelbus na presha
kwahiyo wataikosa uefa
Ningependa sana
Umeshanichagulia timu ya kuishabikia?Usitudanganye hapa kutafuta excuse ya arsenal kufupigwa 2-0 mechi 13 zote mnapigwa tangu dk ya kwanza hadi paulista anatolewa nje si wangekuwa washafunga hata 3 kuna timu zina/zilishinda wakiwa 9 uwanjani rejea Cameroon vs Brazil mashindano Olympic Cameroon waliibuka machampion
Leo umesomeshwa nini huko shule ya kata? Yahusuyo kijambio?we kuna siku utakuja kuishabia chelsea!', kama hata si hapa duniani basi mbinguni ............. ungempa wewe basi hiyo kadi nyekundu. Gabriel ndio aliyataka mwenyewe yeye ameshapewa kadi ya njano badala atulize kijambio!' katoka kaenda kumkanyaga kwa makusudi!' kwanza ugomvi wenyewe ulikua hamhusu.
Mpenzi wangu tusamehe sana ,ila nimekutana na Wenger kanipa mzigo wake fulani kasema anaomba uupokee.....hii ni maalum kwa mahaters wake wote
Take a look at sexysportx's Tweet: https://twitter.com/sexysportx/status/646248034381221888?s=08
Ntuzu, Mentor, Kalou....Yametimia.Hahahahaaaa kawa mzee wa mistari...,
Amerudi ili aweze kuaga kwa Ntuzu.Kumbe Eva alikuwa hajaondoka kabisaaa....
Eva Carneiro: Chelsea doctor leaves after Jose Mourinho row - BBC Sport
Amerudi ili aweze kuaga kwa Ntuzu.
Link Chelsea doctor Eva Carneiro leaves club six weeks after row with Jose Mourinho - Mirror Online
Na Mourinho mguu ndani mguu nje!
Ntuzu, Mentor, Kalou....Yametimia.
Mieleka,rugby na Uhuni haukubaliki uwanjani, uwanja wa kandanda. Costa amepewa muda ajitafakari na atafakari kama anataka kucheza mpira wa miguu au mieleka.
Diego Costa: Chelsea striker banned for three matches
Striker Diego Costa will miss Chelsea's next three domestic matches after a Football Association charge of violent conduct was upheld.
Costa denied the charge, relating to an incident involving Laurent Koscielny during Saturday's 2-0 win over Arsenal.
Costa, 26, put his hands in Koscielny's face before clashing with Gabriel, who was sent off but had a three-game ban overturned earlier on Tuesday.
In a statement, Chelsea said they were "disappointed" with the verdict.
Link BBC Sport - Diego Costa: Chelsea striker banned for three matches
CC kwa "haters" na "wakaangasumu" wote. Cuteb et al
kwahiyo wataikosa uefa
UEFA tuna point 3 nyie MNA point ngap