Hahaha. Naona Ntuzu umeamua kuitetea timu. Japo bado haiondoi uhalisia kuwa timu ipo vibaya, either kwa uzembe wa wachezaji au kocha mwenyewe.
Jose huwa hakwepi kujibu swali kama wewe
Arsenal kacheza game mbili za Uefa lkn hajapata point ata moja Wenger hafai na Arsenal ni mbovu sn.
Na wala sijamtetea Wenger kwa uzembe wake. Technically mzee ameishiwa, ubahili mwingi na kutoshaurika.
Lakini usikatae kuwa timu yako ipo vibaya, nimeiona Sasa mnaanza kuwaita wale wachezaji mliowa freeze, John Obi, Ramirez waokoe jahazi, Matic na Hazard wameshaanza kuchoka wakati ndio ligi inanoga.
Klopp aliamua kuondoka ili asiharibu reputation yake,Jose anataka mpaka afukuzwe
Unapouliza swali kua humuoni Falcao ktk bench la sub na Remy huku unajua kua Costa kafungiwa game 3 unategemea ujibiwe nini?
Ntuzu twakosea sana kutetea na kuona kila kitu kiko sawa na kujilinganisha na wengine... sisi ni Chelsea chelsea haipaswi shindwa ovyo afu tutetee eti na timu zingine zafungwa pia
Niliuliza maswali 3 umejibu moja then ukauliza maswali 3
Na FC PORTO halafu nina furaha sababu Maicon hata kuwepoLiverpool UEFA anacheza na nani vile?! ...........
Wewe endelea na mtazamo wako lkn usije kugeuka na kuanza kuisifia timu
Nitaisifia pale itapofanya vizuri na isipofanya vizuri hatupaswi ficha.
Huo ni udhaifu uliokithili
Hivi wewe utasifia kitu kimekosea ili tu usionekane dhaifu?
Si chako kwani kuna kosa gani? Timu yako kuna shida gani?
1.Oscar ametoka majeruhi i think bado hajawa fit na kwa sasa ndio mchezaji bora wenu so Jose hawezi risk na ukizingatia Costa amefungiwa
3 Kwa umri wake ni dhahiri hana kasi tena so kumpiga bench kwenye EPL ni sahihi lakini sio UEFA,kumbuka Jose alitaka kumsajili Stones Everton wakagoma kama wakimpata/or CB mwingine its obvious JT hatakubali kukaa benchi huenda akafanya kama Stevie G
Sikukaona haka kaujumbe kako,asante sana ila usitutishe bana!!!! Kama kawaida tatu kavu......Jana nilikuwa moodless nikaja wapa pole tu....usijali Mcharo wangu tupo pamoja katika shida na raha.
Mkuu hapana kabisa, twataka perfection pale
Domokaya anaendelea na mieleka ya mdomo.
Mpayukaji wa Ze bluuzzz anasema:
Jose Mourinho: Chelsea players have 'unstable attitude'
BBC Sport - Jose Mourinho: Chelsea players have 'unstable attitude'
Dick Advocaat.......
Ata km aliwaweka bench Matic na Hazard km mbinu au kua na sub imara lkn wanapewa ujumbe kua hakuna mtu mwenye no ya kudumu Chelsea.
Akifukuzwa Mourinho unapendekeza kocha gani aje?