Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Naenda kumchapa Leicester city tarehe 14....
 

Nazani umeoina timu jinsi ilivyo imara kila sehemu...... Walete walete Leicester city uone navyowatoa manundu
 
Naenda kumpacha Leicester city tarehe 14....
Unitafute baada ya kumchapa Leicester.
Nini kimekufanya uamini unaweza kuiondoa Leicester kule kileleni?

Mechi hiyo kwa vyovyote itakuwa "tamu".

Timu moja inapigania kuingia 6 bora na ingine inataka kuandika historia.
 
Unitafute baada ya kumchapa Leicester.
Nini kimekufanya uamini unaweza kuiondoa Leicester kule kileleni?

Mechi hiyo kwa vyovyote itakuwa "tamu".

Timu moja inapigania kuingia 6 bora na ingine inataka kuandika historia.

Nipe no zako kabisa za simu nije nikutafute.... Au nikupe zangu? Leicester city ntapiga kipigo cha mbwa mwizi....
 


Hongereni wakuu wa Chelsick kwa ushindi mnono
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Invisible jitokeze basi
​
 
Hongereni sana leo mmecheza soka saafi na likely ndiyo itakuwa turning point ya kurudisha confidence ya EPL

Opps mnacheza na nani week hii?
 
Haya ni mapito tu Lakini kwangu Mimi sijafikiria kuhama kushangilia Chelsea pamoja na kipigo kinachotolewa kila kikicha ila Roho inaniuma kinoma!
 

Attachments

  • 1449717285778.jpg
    124.9 KB · Views: 183
Unitafute baada ya kumchapa Leicester.
Nini kimekufanya uamini unaweza kuiondoa Leicester kule kileleni?

Mechi hiyo kwa vyovyote itakuwa "tamu".

Timu moja inapigania kuingia 6 bora na ingine inataka kuandika historia.

Wazee wa mieleka...


 
...and so, rumors have it that tunatafuta striker mwingine dirisha dogo la Januari...

na waliopendekezwa ni hawa;



Antoinne Griezmann (Atletico Madrid)




Felipe Anderson (Lazio)




Alex Teixeira (Shakhtar Donetsk)
 
Ambao wapo kwenye jicho la Chelsea ila gharama zao zinaweza kuwa kubwa ni...



Jamie Vardy (Leicester City)




Saido Berahino (Westbromwich Albion)
 
mkuu Mentor naona Griezmann yupo poa sana mana hata kumiliki mpira anajua. Tofauti Berahino na Vardy hao wengine sijui wapo vipi mana sijawahi kuwaona wakicheza ...........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…