Akija Mou kwenye moja ya team zangu nahama siku iyo hiyo. Mou hafundishi mpira anafundisha wachezaji kuwa wahuni uwanjani na boring football. Mimi ni mpenzi wa total football, sipendi kabisa aina ya mtindo wa Mourinho.Shabiki usiyekuwa na team maalum naona una sherehe kubwa mno! Kumbe ulikuwa unamuhofia sama Mourinho eeeh!? Weka akiba ya maneno huenda Mou akatua kwenye moja ya team zako.
It is too late. Sisi wengine tulipokuwa tunasema haya, ulikuwa unakuja na vijineno vya utoto wako. Leo domokaya ametemwa unakiri kuwa jamaa alikuwa bogus. Tukueleweje dogo?mi naona hapa kama tunatofautiana, mi naona ufundishaji wake, mana mi alianza kuniboa tokea game la stoke city game la Capital one, stoke city walikua pungufu kwa red card eti badala ya kucheza mpira wa kushambulia eti ndio kwanza wanaforce game liishe droo wakati penalt hainaga mwenyewe, uwe pungufu dhidi ya man city au baca utajutaa .........
kwanza timu ilikua inacheza haishambulii, wachezaji hawawezi kupiga penetration pass, wao ni V pass, wanapasiana mabeki kwa mabeki theni wanamrudshia kipa abutue mbele. sasa vile walivyokua wanacheza si ndio kocha kawafundisha hivyo.
Angalia kocha kama Gudiola anavyofundisha, mchezaji anapewa mpira, halafu anakua na option kama ya wachezaji watano hivi ya kuwapasia mipira, kwa wachezaji wa chelsea option ni kumrudishia kipa!, aondoke tuuu!
Hujajiuliza kwanini klabu kubwa kama madrid wanamtaka, watu wa mpira huwa wanaelewa fitna za kwenye mpira
Ajiuzuru akose ?40mil??
Kutakiwa na Madrid sio issue kwani ataenda kufundisha misimu 2 then atafukuzwa,Kwa sasa Jose hakuwa kocha sahihi kufundisha Chelsea
Huenda akalipwa less than ?40 mil kwani
1.Ameshindwa kuiongoza timu kufikia viwango vya Chelsea,sio level yao kupambana kutoshuka daraja
2.Ugomvi wake na Dr Eva Carneiro umesababisha klabu ishtakiwe na hii imeharibu image ya klabu na huenda klabu ikaadhibiwa
Dah!!!! Kwa kweli inaumiza sana kocha bora kama mou kufukuzwa kisa upumbavu wa wachezaji.... Halafu hatutapata kocha mwenye mapenzi na club kama mou, wakati anaondoka Cobham baada ya kutimuliwa alikuwa akimwaga machozi masikini... Halafu kuonesha kuwa anaipenda club zile hela alizotakiwa kulipwa amesema zitumike kurebuild club, for sure mou was the best man for the job, gone but never forgotten!!!!!!!😿
Ifikie sehemu makocha waikatae hii timu ili wachezaji wajicoach wenyewe, toka Mou ameondoka mara ya kwanza kuna makocha wazito sana wenye uwezo wamefukuzwa kwa sababu za kutoelewana na wachezaji.
Kuna wachezaji kama Terry na kundi lake nadhani ifikie muda wapumzike, kwa sababu nadhani ndo wanaoleta influence.
Kama timu haitakaa iwaondoe wachezaji hao hakuna kocha atakaye kaa Chelsea na tajiri ataendelea kupoteza hela.
Terry anapaswa kuondoka......
Hii ndio michango bora kabisa yenye mashiko sio watu wanakuja kubwabwaja yao hovyo tu km wamevurugwa.
Salutes kwenu wakuu.
At last Maureen, the special woman will rested in peace.
Wote kina Scolari, Ancheloti, AVB na sasa Mou wamekutana na huu ujinga wa kina JT.
Bila JT kuondoka, tena na baadhi ya wachezaji wanaomtii, Chelsea haitakaa ipate kocha wa kudumu.
Atarudi hapo akiwa na timu ingine na kuifunga Chelsea km alivyokuja na inter Milan na kuitupa Chelsea nje ya UEFA.