Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,079
Ni kweli Mkuu ata mimi ilinipa ujasili tena wa kua nguvu ya kuwafunga Leicester city lkn matokeo yake tumekua tunacheza vzr lkn kufunga ni butu.....
hali tete pale. bado kwetu sasa
Kuwa na ndoto ni kitu kizuri.mi naona inawezekana sana, hizo game nne kupata point kw timu zilizopo juu yetu inawezekana sana, kuna timu nyingi sana zilizopo juu yetu ni point zetu mojawapo ni manure, ndio mana nikasema akija kocha makini, wachezaji wapo inawezekana .............
Nani ameniita??? Mtu mmoja tu wa jukwaa hili alipokuwa na mood nzuri ndio alikuwa ananiita hapa , leo baada ya kupata mooo mood ya kuunga unga ameomba mapumziko ya dharura(time out).Mkuu umeitwa na comment zako za Kejeli lakini naona unanitupia mimi!! Hahahaaaaa!! MOURINHO one of the best coach on Earth
Mou na mastaa wake ndio wamewafikisha hiyo position ya 16 sio Nonda. Kama ume-miss comments za Nonda kuwa mkweli tu na kiri hivyo.wakumuita "Nonda" mbona sioni comment zake za kejeli au sababu tupo position ya 16????
Mou na mastaa wake ndio wamewafikisha hiyo position ya 16 sio Nonda. Kama ume-miss comments za Nonda kuwa mkweli tu na kiri hivyo.
Sijafunga mkataba na yeyote wa kuandika comments kwenye jukwaa hili. Naamua tu, ninapojisikia kuandika.
Una hamu ya kujipandisha hasira?
Nini maoni yako juu ya Moureen kufungishwa virago na Mafiaso wa kirusi?
Umefurahi kama Mentor na Ntuzu au umeumia kama Enzo, Root, Kalou na Rev. Kishoka?
Weka nyama kidogo. Alileta internal conflict ipi/ zipi? Alifanya nini?me nimechukulia poa tu coz alileta "internal conflict".
ndo kilichobaki.Mpaka sasa bora msubiri msimu uishe tu
bato ya nini sasa mkuu na wewe upo nafasi ya tisa ........ Klopp ataishia kufukuzwa, ni maoni yangu lakini.Teeehe teeehe naona unaitafuta battle kwa lazima
Akija kweli ENZO atamkumbuka Mou
Kuwa na ndoto ni kitu kizuri.
Wachezaji wakiacha ubishoo uwanjani mtamaliza ligi kwenye nafasi ya 6-8.
Ule u-star umewavimbisha vichwa. wanacheza mpira kama vichaa tu. wanaonekana kukimbia kimbia tu na kujiangusha angusha kama wana ugonjwa wa kifafa.
Hongereni kwa kumpata Guus
Hongereni kwa kumpata Guus
kama Abromo hatumii cha Ngarenaro sijui ..............
Huyu kaiuwa Holland halafu ndio wanatuletea?!
Upuuzi mtupu!!
Ndo ishakuwa confirmed hivyo kubalini matokeo may be atawaprove wrong........