Hata mimi binafsi sijafurahishwa na walichofanya wachezaji
Huyu ndiye anayeleta matatizo Chelsick, hawawezi kukubali lakini huo ndio ukweli mpira wake umeshuka kwa kiwango kikubwa na Moreen alipoanza kumweka benchi tu kibarua chake kilianza kuwa matatani. Usione hii front ya mbele kusikitika ni machozi ya mamba. Mna kazi kubwa, kujenga himaya ambayo imejengwa na pesa za wizi sio rahisi.
we anaeleta matatizo kwenye timu yako mbona humtaji ni nani! timu imekaa miaka 11 haijabeba EPL, sijui hata nguvu za kucheka cheka humu unapataga wapi.
we nawe!' sasa wachezaji wamefanyaje?! kama kocha ndio alikua anawafundisha vilee, mbona mpira walikua wanacheza sanaa sema kufunga ndio ilikua ishuu, tatizo ni morinho mwenyewe wala hat si wachezaji ..............morinho anajulikana ni kocha wa short term.
colochini scores for newcastle. bad news
for chelsea in relegation battle
Una onekana sio mtu wa mpira kwa sana, leo wameshinda wamefundishwa na nani?
yaani we jamaa ni kiazi!' kha, sasa ndio nini umeandikaa, yaani ndio uwezo wako wa kufikiri ulipofikia! kwa taarifa yako ushindi wa leo umetusogeza sana kwa kua ww ni bogazi unaangalia nafasi huangalii point, wiki ijayo tunapanda nafasi ya 12 .............
Mafaiaso mmiliki wa Ze Bluuzz alikuwa amekaa na Drogba pembeni ameonekana akipiga makofi alama ya kufurahia matokeo ya mechi 3-1, pia anaonekana kujipongeza kwa mkasi alioupitisha kwa Domokaya.
Hivi leo mmepanda hadi nafasi ya ngapi kumbe?
we anaeleta matatizo kwenye timu yako mbona humtaji ni nani! timu imekaa miaka 11 haijabeba EPL, sijui hata nguvu za kucheka cheka humu unapataga wapi.
Tuombe Mungu Mourinho asije rudi pale darajani akiwa na timu nyingine, hiyo atatupangia kikosi kabambe atuzibue mpaka basi
Hata Ntuzu na Enzo wanajua kuwa Mou ni mpayukaji na domokaya.Kiukweli wewe ndio Domokaya na sio Mourinho.
Soma hapa Link https://www.jamiiforums.com/sports/20023-the-chelsea-fc-thread-1534.html#post14902151mkuu vipi ushindi wetu wa jana???