Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamani mimi ngeni hivi tupo nafasi ya ngapi kwenye EPL! Nsaada tutani.
 
Nilikua angry kama klopp sikupata muda mkuu
Klopp ni mzuri, lakini ligi aliyokuwa amezoea ni ya Ujerumani, EPL ngoma kubwa kwake, timu zote hivi sasa wanapata pesa nzuri tu za TV, angalia Everton walivyokataa kumuuza Stones kama sikosei, miaka miwili ya nyuma angeondoka. Pressure ipo kutoka kwenye media, mashabiki na wenye mali. Bila kusahau media inayotaka kukupangia timu. Yaani ukienda mfululizo ukapoteza mechi tatu nne upo matatani. Licha ya hivyo mbinu chafu ambazo zinatumiwa na baadhi ya clubs etc. Kwa mtazamo wangu Klopp utakuja niambia mwakani atakapowafikisha. Usije kulialia tu humu , kumbuka BR hakuomba kazi kwenu mlikwenda wenyewe kumsaka na ahadi kede kede
 
...but do I say..na Drogba anarudi kama kocha msaidizi...Giggs vs Drogba...hahaha

 


Oscar steered Guus Hiddink's Chelsea side into the lead away against Crystal Palace after 28 minutes in the Premier League match

 


Willian then sent a thunderous strike crashing into the top corner from the edge of the area on the hour mark for Chelsea

 


Striker Costa (left) then capped an impressive display for Chelsea by scoring from close range after Wayne Hennessey spilled the ball

 
GET WELL SOON HAZARD...



Club itatoa mrejesho baadaye leo juu ya hali yake...hope it wasn't thast serious!!!
 
SPECIAL MENTION:





HAWAHITAJI MAELEZO...OVER EXCEPTION PERFORMANCE...
 

Hahahaha suala LA kulia mkuu halipo nina imani na Klopp kwa asilimia mingi kwanza anaanza kutupeleka Wimbledon bila shaka yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…