Mou hawezi akaenda villa sababu sio timu ya caliber yake sasa mwambie kocha yeyote unayemjua aende Porto halafu achukue uefa tuone.... Pep ni muoga tu sio kocha anapenda vitu virahisi rahisi, mou is the bestPorto ni sawa na Aston Villa?
Mou akachukue Aston Villa bana na yule Kocha wa Aston Villa, Remi Garde ndio aje daraja bovu.
Unamtaka Pep Guardiola Darajani? Kwa nini hutaki aende Man. City?
Daraja limepata mkarabati mzuri tu. Ameanza na Ze bluuz haijapoteza mchezo bado, Aendelee tu, Mzee Guus Hiddink kulikarabati daraja, tena apewe miaka 5.
Mou amechukua uefa na Yokohama? Kwa nini? Au Porto ni timu bora kuliko timu ya darajani?Mou hawezi akaenda villa sababu sio timu ya caliber yake sasa mwambie kocha yeyote unayemjua aende Porto halafu achukue uefa tuone.... Pep ni muoga tu sio kocha anapenda vitu virahisi rahisi, mou is the best
Hahahahaha sasa Nonda kwani Ancelloti alichukua uefa na Chelsea? Guadiola kachukua na Bayern? Allegri pia kachukua? Porto ni timu kubwa ukilinganisha na villa, porto karibia kila msimu ipo uefa vipi villa pia inaendaga uefa?Mou amechukua uefa na Yokohama? Kwa nini? Au Porto ni timu bora kuliko timu ya darajani?
Mou amechukua uefa na Real Madrid? Kwa nini? Je Porto ni timu ya caliber ya Mou kwa uefa lakini si caliber ya Mou kwa uefa?
UKISIKIA PUMBA NDIO HIZI ETI PEP ANAPENDA VITU RAHISI SASA HUKO BAYERN AMEPATA URAHISI GANI WAKATI BUNDESLIGA KOMBE MARA ZOTE NI LA BAYERN HILO LINAJULIKANA SASA KAMA NI URAHISI MBONA HAJACHUKUA UEFA HAPO NA BAYERN MAN CITY HATA EUROPA LEAGUE HAJACHUKUA NA KILA MSIMU WANASPEND MAHELA KIBAO YA KUSAJILI PEP ANAKUJA MAN CITY KUJA KUISUKA TIMU MAN CITY WANAO WACHEZAJI WAZURI ILA HAWANA UZOEFU WA UEFA PEP ANAKUJA NA UTAONA VITU VYAKE KAMA ANAPENDA URAHISI ANGEENDA PSG PIA WANAMTAKA MWARAABU WA PSG ANATOA HELA KINOOMA KWA AJILI YA USAJILISasa mourinho athibitishe mara ngapi, hana la kuthibitisha maana alishafanya hivyo na Porto.. Mbona hamumsemi mrembo guadiola anayekimbilia timu bora kama sasa anaitaka man city maana ameona ina muelekeo kama yeye mwanaume aje darajani lakini najua ni muoga hawezi fanya hivyo
Hahahahaha kweli nyani haoni kundule sasa we huoni kuwa ndio umeandika pumba kwanza jifunze kupangilia maneno ndio uje tudiscuss huelewekiUKISIKIA PUMBA NDIO HIZI ETI PEP ANAPENDA VITU RAHISI SASA HUKO BAYERN AMEPATA URAHISI GANI WAKATI BUNDESLIGA KOMBE MARA ZOTE NI LA BAYERN HILO LINAJULIKANA SASA KAMA NI URAHISI MBONA HAJACHUKUA UEFA HAPO NA BAYERN MAN CITY HATA EUROPA LEAGUE HAJACHUKUA NA KILA MSIMU WANASPEND MAHELA KIBAO YA KUSAJILI PEP ANAKUJA MAN CITY KUJA KUISUKA TIMU MAN CITY WANAO WACHEZAJI WAZURI ILA HAWANA UZOEFU WA UEFA PEP ANAKUJA NA UTAONA VITU VYAKE KAMA ANAPENDA URAHISI ANGEENDA PSG PIA WANAMTAKA MWARAABU WA PSG ANATOA HELA KINOOMA KWA AJILI YA USAJILI
Hahahahaha hapo umenena am optimistic 2012 inajirudia underdogs tunatoka kimasomasogari limeshawaka. UEFA tunawataka Barcelona au Bayern sio PSG. hivi haifai kuomba tubadilishiwe?!
Sasa rudi kule tulikoanzia. Kwa nini unataka Pep aje Yokohama?Hahahahaha sasa Nonda kwani Ancelloti alichukua uefa na Chelsea? Guadiola kachukua na Bayern? Allegri pia kachukua? Porto ni timu kubwa ukilinganisha na villa, porto karibia kila msimu ipo uefa vipi villa pia inaendaga uefa?
Mou ndio alikuwa anazuia bus lisiondoke, alilizima moto na kuli-pack.gari limeshawaka. UEFA tunawataka Barcelona au Bayern sio PSG. hivi haifai kuomba tubadilishiwe?!
hilo halina ubishii mdau!' naona historia ya 2012 ikijirudia FA na UEFA darajani.Hahahahaha hapo umenena am optimistic 2012 inajirudia underdogs tunatoka kimasomaso
nilishasema hapa mou ndio alikua kikwazo, akawatwisha wachezaji tu lawama na kuna watu wamewachukia hao wachezaji mpaka leo na hawana hatia............Mou ndio alikuwa anazuia bus lisiondoke, alilizima moto na kuli-pack.
Hata hivyo, jaribu kuvuka kizingiti cha PSG hao wengine utakutana nao ukiepuka kipigo kutoka kwa PSG.
Hukufuatilia mtiririko wa mazungumzo baina ya franco15 na Nonda. Huwezi kuelewa nini kinazungumzwa hapo......
PSG tunapiga kama mbwa mwizi, naona kombe likitua darajani. vp kijana unafananisha chelsea na A/vila ..........ni mawingu yameanza au umekosea tu kidogo?!!.