This kid right here...kila siku ana-improve! He is going to be key to our backline pretty soon! Cahill needs to step up la sivyo atatafutiwa mbadala.
NB: Jana nilitafakari maneno ya pundits na critics kuwa Zouma is taking Cahill's job kwa kuwa mechi kadhaa sasa amekuwa akipigwa benchi. Badala yake nilihisi kuwa - ukiachilia fact kuwa kuna kipindi Cahill alikuwa majeruhi - anapangwa na Terry ili aweze kujifunza from the best akiwa naye uwanjani.
The owner was happy...
Kumbe unafahamu kuna mwenye mali, akifa na timu inakufa kibudu. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nakudediketia maana ya neno 'Zuzu' tafsiri yake utaipata Clouds FM na Abel Onesmo!
Sasa haraka ya nini hilo neno "Vloids" ni kijerumani au? Na unaishia kuchekacheka, mtu makini anapitia alicho andika papara wasiwasi tulia na andika yanayoelewekaBaada ya kutoka Kibera ndio umeona Vlouds ndio magwiji wa kutafsiri maana ya Zuzu, kweli upimbi sio kilema khe khe kje khe khe k he khe khe khekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha tabia za kinyang'au nyang'au.
Sasa haraka ya nini hilo neno "Vloids" ni kijerumani au? Na unaishia kuchekacheka, mtu makini anapitia alicho andika papara wasiwasi tulia na andika yanayoeleweka
Lol umenichekesha sana aisee.
Ivanovic nae tako limemlemea hawezi hata kukimbia, jmos tunakutana na winga teleza za everton sijui itakuaje.
Don't worry mentor leo ushindi upoSHOCKER:
West Bromwich Albion have won their last two Premier League games and will be looking to win three in a row for the first time since November 2012 (four in a row – the third of which was against Chelsea).