Wachezaji wa Chelsea karibia wote wamekuwa average,kina Pulis wanaweza ku-motivate average players.Kocha atakayekuja atakuwa na kazi ngumu mnoHa ha ha ha jamaa kuwa na huruma dah.....Pulis, big sam na Harry Redknapp ndo experts wa kuokoa Relegation scare....
Wengi wanakua wanacheza na atmosphere in the stadium. Chelsea fans walikua wanashangilia kwa nguv dakika iyo ref ikabid aendelezWay offside...Rent boys doing what Rent boys do....buying matches
Dakika zilizokuwa zimeongezwa zilikuwa saba. Ina maana kama mpira kuisha, ulipaswa kuisha na dakika 97.00Goli limeingia dk ya 97.53 nyie mnasema refa ameongeza muda!hivyo hazikutimia nane kipindi goli linaingia!
Walifanya kosa kubwa sana wachezaji kumgomea Mourinho, walitengeneza mazingira ya timu zingine kuondoa ile fear factor ya kucheza na chelsea! Sasa hivi timu inaenda darajani HAISAKI DROO, inasaka pts tatu maana wanaona chelsea sasa ni timu ya kawaida, mgomo umesaidia timu kuondoa fear factor ya darajani enzi hizo kuwa ukikanyaga ni lazima uchezee! Nakumbuka msimu fulani hata kufunga goli moja tu pale darajani ilikuwa ni shida!Wachezaji wa Chelsea karibia wote wamekuwa average,kina Pulis wanaweza ku-motivate average players.Kocha atakayekuja atakuwa na kazi ngumu mno
Roberto Martinez: Everton boss feels 'pure anger' at Terry goalDakika zilizokuwa zimeongezwa zilikuwa saba. Ina maana kama mpira kuisha, ulipaswa kuisha na dakika 97.00
Mimi napata matibabu hospitali ya rufaa wodi nambari 14.Nonda naomba niijue timu yako maana kutwa kutukebei tutajie na we yako tujue uko wodi gani
Hashuki mtu daraja, top 4 hatuingii ila kushuka daraja sio kitu rahisi especially kwa kikosi tulichonachoTumepata sare ila kiukweli tumebebwa sana mpira ulikuwa umeisha na goli ni offside hahahahahaha tutashuka tu daraja hakuna namna
Ila UCL mnachukua....[emoji12]Hashuki mtu daraja, top 4 hatuingii ila kushuka daraja sio kitu rahisi especially kwa kikosi tulichonacho
why not possibility ipo tena kubwa tu me najiaminiIla UCL mnachukua....[emoji12]
Wakati jana tu dhidi ya Everton ulikuwa unachungulia....me najiamini
WRATH OF CHELSEA SERIES ( REVENGE ON ALL TEAMS THAT BEAT US FIRST HALF OF SEASON):
- Crystal Palace ( Jan 3) ✔
- Everton ( Jan 16) ●
- Southampton ( Feb 27)
- Stoke ( Mar 5)
- Liverpool ( Mar 12)
- West Ham ( Mar 19)
- Man City ( Apr 16)
- Bournemouth ( Apr 23)
- Leicester City ( May 15)
✔ = Victory
● = Draw
✘ = Defeat