Chelsea FC (The Blues) | Special Thread



The tireless hairy man from Brazil..




...with the Brazil born Spanish goal master!!!
 


Man of the Match...!!!

Ingawa kuna seater moja alikosa alinikeraaaaaa
 
Zouma - injured
Matic - suspended
Matt Miazga - unfit
Alexander Pato - unfit
Oscar - injured
Terry - injured.....
 
Chelsea v Paris St Germain


Games won: 2


Games drawn: 3


Games lost: 1
 
hapo wa muhimu sana zouma na Terry kidogo ila Oscar kawaida sana...hana consistency, unawezamtegemea kwenye game fulan akambwela!
Naangalia ma-dm sn maana hapa Yule dogo Ruben na Obi na Faby itabidi wasimame kati kwa nguvu na pia naona uwezekano wa Ivanovich na Cahill kusimama kati then Azpilicueta kurudi beki kulia na Baba kucheza beki kushoto.

Akipanga hivyo timu itakua vzr ingawa tutakua hatuna nguvu sn ktk kushambulia kwasababu tutahitaji msaada sn ukabaji wa Hazard, Pedro au Willian km wakipangwa. Lkn hatutoweza kupoteza.
 
BEKI HUYU (wanasema ndo currently the World's best defender):




DHIDI YA STRIKER HUYU:

 
PRODIGAL SON HUYU MIDFIELDER:



DHIDI YA KINDA WETU ANAYECHIPUKIA (wanauliza anaweza ku-shine kama Zouma?..huenda ndo nafasi yake ya kutoka...kuhakikisha Maria hatoki mfukoni kwake):

 
I believe... #KTBFFH #CFC



Come on you Blues...!!! Msimu ujao lazima turudi CL...by any route possible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…