Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuwa muelewa basi mkuu, sishabikii Chelsea, ila naitambua kama ni mpinzani mkali wa Barcelona kwa siku za karibuni, yaani Barca anaweza kuwa vizuri ila akikutana na Chelsea huwa panachimbika
Bibootylover aise unavyofanya sio vizuri! tutake radhi..BACA KITU KINGINE weka mbali na watoto, chelsea mpange nakina granada, sporting gijon na athletic club hao ndio wa size yake mzee.
 
Reactions: PNC
Huo unaitwa ushabiki mandazi...lete statistics za baca na Atl....baca na bayern,
Barca 2-Atletico 1 LAKINI dakika 45 zote Atletico walikuwa 9 baada ya wachezaji wawili kupewa kadi nyekundu!Kumbuka Atletic walichukulia ubingwa nyumhani kwa Barca mwaka juzi

Bayern imezorota chini ya Guardiola sababu sio kocha mzuri,Bayern ya kocha Jupp Haycknes ilimtoa Barca kwa 7-1 aggregate
 

Ok 2-1 si ni ushindi vilevile mkuu hata kama ni 1-0...then ujue kuwa baca ni forever ukiifunga itakua ni bahati mbaya mno once within one year, tofauti na club zingine leo kiwango kimepanda kesho kimeshuka ndio akina bayern hao,
 
Reactions: PNC
unaonekana unapata la kusemea sababu atletico walipewa nyekundu ILA NIKUJULISHE TU KUWA HIZO MBILI WALIFUNGWA WAKAT WAKIWA WAMETIMIA ila kama utahoji sana basi nipe mechi ya kabla hyo ya 2;1 kati ya ATLETICO na BARCELONA[emoji144] [emoji144]
 
Duuuuuuuh,, wanachelsea wenzangu kiukwelii ushndi wa leo utakuwaa mgumuu
 
Mhuuuuu kazi ipo,, absence of Costa,, pigooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…