Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Pole kwa kipigo cha mbwa mwizi kutoka Watford.
 
Pole kwa kipigo cha mbwa mwizi kutoka Watford.
Umechanganyikiwa wewe! Ameanza PSG amemalizia Everton. Mpaka utatia akili na kuacha utoto msimu huu! Teh teh. khe kheeeeee. ding dong!
Dogo unajua timu gani inaongoza Ligi? Ahhh, let me dream with the fans..I do not want to wake up!
 
bado tuko kwenye mashine

ila mnajitahid sana japo mpo kwenye mashine ................ wanabahati sana wale watoto" kwao mnaenda kuwapa kitu inauma kama mtakavyowafanya liver. ila mjitahidi hata mpige kona moja basi.

vipi game la jana Man Of the Match ni yule yule wa siku zote?
 
Teehee teeeeehe hii post imekaa kinafki
 

Chelsea Under-19s will continue the defence of their UEFA Youth League title at the finals weekend in Nyon, Switzerland after booking their place in the last four with victory over Ajax.
 
Wala huwa siangalii nijue nani Man Of The Match akicheza Man U

Kama sio De Gea basi ni nani?
 
Wala huwa siangalii nijue nani Man Of The Match akicheza Man U

Kama sio De Gea basi ni nani?
hahahahahahaha ................ kwa hiyo hata kesho imeshajulikana man of the match ni nani"
 


John Terry has been presented with a signed shirt by his Chelsea team-mates to celebrate his 700th game

 
"Chelseafc: Team to face West Ham United: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry (c),
Azpilicueta; Mikel, Fabregas; Willian, Oscar, Kenedy; Remy. #CFC"


"Chelseafc: Today's subs: Begovic, Baba, Matic, Loftus-Cheek, Pedro, Traore, Pato.
#CFC"
 
"Chelseafc: .@GaryJCahill: 'Our personal pride has been hit and we have a responsibility
to finish as high in the table as we can.' #CFC"

"Chelseafc: .@GaryJCahill: 'It’s a derby, both sets of fans want to win, the players
sense that and there’s always an edge.' #CFC"
 
"Chelseafc: Team to face West Ham United: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry (c),
Azpilicueta; Mikel, Fabregas; Willian, Oscar, Kenedy; Remy. #CFC"


"Chelseafc: Today's subs: Begovic, Baba, Matic, Loftus-Cheek, Pedro, Traore, Pato.
#CFC"
Kimenuka tayari. Goli la mguu sio la mkono . Goli safi sana. Na iko dalili Iva atapata kadi ya rangi ya damu.
Mjumbe hauawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…