Ntuzu nyumba yako mwenyewe hii unakimbia wageni ukumbini? usije kumkimbia na Bibie chumbani majogoo wana njaa ukumbini wengine wana tabia mbaya hawajui Ushemeji wao wanataka kulaagaaaa!!!!! so rudi tu home kwako ni home kwako wasifanye upachukie tehteh.
Dogo andika kamusi, unacho kipaji cha kubuni maneno.naombea tupigwe tu hata gemuz nane mfululizo ili kocha aache ukumazani.
sio kufungwa na liva ndio kumenifanya niseme hivyo" nilishasema hapa kuwa tufungwe ili kocha kichwa kimkae sawa, na nilitofautiana na baadhi ya watu hapa kuhusu swala la kumweka fab bench. Kwa kocha anaejielewa huwezi ukamweka fab. benchi .............hii sio logic ya mpira kufungwa n kawaida sana
tena kufungwa na liverpool tim kubwa
Heavy MetalHao uliowataja wamo ndani ya mchakato wa kuhamia Dodoma, hawaingii hapa jukwaani. Uwasamehe tu kwa dharura hiyo.
Chelsea bado wana squad nzuri sana
Kocha pia mzuri
Cha msingi ni kuleta jembe la kumsaidia Diego Costa mkipata huyo missing piece of the puzzle basi mmemaliza kazi
Hawa akina Moses hamna kitu
Oscar anamfanya nini Conte?.. nilishasema hapa kuwa tufungwe ili kocha kichwa kimkae sawa, na nilitofautiana na baadhi ya watu hapa kuhusu swala la kumweka fab bench. Kwa kocha anaejielewa huwezi ukamweka fab. benchi .............
oscar nahisi anamkaza Conte.
Kocha anazingua...Substitute ya Costa yupo Mitchshuayi,Conte anapaswa kumpa nafasi Fabregas na waombe beki wao Zouma arudi
Juve ilimuaribu hajui kufanya timing ya sub...umefungwa alafu unafanya sub Dk 84...nadhani atakuwa kajifunza maana wachambuzi wengi waliliona kama moja ya weakness ya Conte..Kocha anazingua...
Fabregas is still better than Oscar. Actually kama anampenda Oscar sana basi Matic aanzie benchi.
Umefungwa..unasubiri hadi dk 80 kubadili wachezaji.
Msiba umehama...leo zamu ya nani?Bila shaka msiba bado unaendelea.
Poleni majirani.. ..
Hatimaye umekuja. Pole kwa msiba.Msiba umehama...leo zamu ya nani?
Troy Deeney kapita
Capoue kapita...