UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Hongera ila kibanga 3 usikimbie pale utakapopigiwa ukate mauno ukaanza visingizioLeo Chelsea tunapeleka Posa Emirates tuko na ugeni mzito umwandae huyo mwana mwali arsenal kumpokea mumewe Chelsea
Hawawezi kukaza game nyepesi sanaWatakaza kisha wataachia tu, kitu Shaaaa!
Usijali kiongozi arsenal Kwetu ni mchumba na akitufunga basi nitajua hatuchukui ubingwaHongera ila kibanga 3 usikimbie pale utakapopigiwa ukate mauno ukaanza visingizio
Kiukweli sijawahi kuidiss chelsea naweza paita nyumba yangu ya kupanga au nyumba ndogo lakini hakuna ukweli kwamba mtashinda hii game wenger fala ila mjanja sana yule mzee na anapenda sana game kama hizi kuikosoa duniaUsijali kiongozi arsenal Kwetu ni mchumba na akitufunga basi nitajua hatuchukui ubingwa
Kiukweli sijawahi kuidiss chelsea naweza paita nyumba yangu ya kupanga au nyumba ndogo lakini hakuna ukweli kwamba mtashinda hii game wenger fala ila mjanja sana yule mzee na anapenda sana game kama hizi kuikosoa dunia
Ipi?Msije kuharibu rekodi aliyotengeneza Mourinho
Ipi?
Nipo nyuma yenuInabidi fabrigas amuonyeshe kitu conte leo asimwangushe maana hii ni fidelity kubwa amemwonyesha leo
hata cheza huyo leoInabidi fabrigas amuonyeshe kitu conte leo asimwangushe maana hii ni fidelity kubwa amemwonyesha leo