nahisi Marcos Alonso anahitaji kukaza sana jana sijaona zile cross though alicheza vizuri ,ikutokea hii 11 inamajeruhi hawa benches wanaweza intergrate na kuleta matokeo maana jana zile sub tulizo fanya timu ililemewa,conte must look his squad depth uz
Bado nagis
Bado nagis[/QUOTE][QUOTnahisi Marcos Alonso anahitaji kukaza sana jana sijaona zile cross though alicheza vizuri ,ikutokea hii 11 inamajeruhi hawa benches wanaweza intergrate na kuleta matokeo maana jana zile sub tulizo fanya timu ililemewa,conte must look his squad depth uzu, post: 18651459, member: 162152"]Ili kukabilia Na mfumo Wa 3-4-3 anaotumia Conte timu pinzani lazima ihamia mbele ktk eneo lenu kuwakabiri. Wakifanya hivyo back line ya wachezaji watatu lazima izidiwe. Hivi ndio walivyofanya spurs Jana. Walikua wanapanda mbele sn tena Kwa makusudi mpk ikawa inawatia hofu wachezaji Wa Chelsea kupanda mbele Na kina Matic Na Kante wakawa wameelemewa Na pia timu ikawa pushed back Kwa nguvu sn.....
Sasa ili kukabiliana Na hali km hiyo lazima kutumike nguvu taratibu ya kumtoa adui ktk aeneo lako tena Kwa ushirikiano Wa timu yote Na ndicho walichofanya Chelsea na kurudi ktk mfumo wao Wa kawaida.
tatizo siyo walioingia tatizo ni waliotoka, uwepo wa hazard tu uwanjani! unawapa wachezaji pinzan hofu.Yaani wamenishangaza walivyoingia timu ndio ikazidiwa tena
At the end of the match what was the results????? Spurz are like kids to blue lions, OUR NEXT VICTIM IS MAN CITY, STAY TUNED.Wale waliokuwa wanasema Spurs watapigwa goli 7, 4, nk; ooh historia ya Chelsea tangu 1990, oooh Rose hayumo! Nawauliza, mliona walivyotupeleka puta? Hiyo ndiyo EPL, hakuna cha mtoto wala mkubwa ukizubaa unapigwa!
Kabla ya kuni-quote na kuandika uliyoandika unge-refer the context of my previous contributions in the discussion regarding Chel vs Spurs match! I always respect London derbies, all are great teams and Chelsea haijawahi kufunga timu ya London kirahisi tangu nianze kutazama mpira.At the end of the match what was the results????? Spurz are like kids to blue lions, OUR NEXT VICTIM IS MAN CITY, STAY TUNED.
Team kama chelsea kumaliza msimu ikiwa nafasi ya 10 inauma sana kama una moyo mwepesi dada na ndicho kilichotukuta wengiMumekuwa wacharoooo!!! Hongereni sana ...... Asante sana Conte umenirudishia wapenzi wangu wote wa zamani naona mwashindana kukoment tu alibaki Mentor wangu tu humu[emoji23] [emoji23] ......
M.Alonso yupo vizuri sana mkuu, huyo kennedy aje kama sub ya alonso incase of any injuries if he facesnamba ya Marcus Alonso anatakiwa and aicheze kennedy