Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #35,381
Narudia tena, Chelsea hachukui ubingwa msimu huu. Sio kila anayeongoza ligi by Xmas lazima awe bingwa. Siwalazimishi mkubali ila mwezi Wa tano mwakani nitawafukulia hii post No. 35392
heee yaani copyright
Ilikuwa ktk mechi ya Fainali ya UEFa 2012, Buyern Munich vs Chelsea fc. Hapo ilikuwa ktk zoezi la kuelekea kupiga penati
Kama wewe kweli ni mshabiki wa chelsea fc hii ilikuwa ni event gani?
2012 uefa champions league final. Ashley cole on the penalty spot vs manuel neuer
Kama wewe kweli ni mshabiki wa chelsea fc hii ilikuwa ni event gani?
Mkuu huyo mikel obi anayepiga pass za nyuma kama yupo kwenye "hangaisha bwege" ndo abaki chelsea??????? Midifielder hawezi pandisha team+kimbia+not good in tackling+alot of mistakes+etc. Natamani hata saizi auzwe naona kama kacheleweshwa sana.ila kumwondoa mikel ni kosa kubwa sana
Mikel ni mzuri sn mnaweza kujikumbusha siku ya fainali huko MunichMkuu huyo mikel obi anayepiga pass za nyuma kama yupo kwenye "hangaisha bwege" ndo abaki chelsea??????? Midifielder hawezi pandisha team+kimbia+not good in tackling+alot of mistakes+etc. Natamani hata saizi auzwe naona kama kacheleweshwa sana.
Basi angekua ni mbaya angemuuza lkn kwanini hamuuzi?????Angekua mzuri, conte angemtumia. Jiulize kwanini hajapangwa hata match moja under conte reign???? Conte hataki hata atokee sub. Badala yake ana opt kwa kina loftus cheek, ola aina and chalobah.
Anauzwa january, atimkia zake maseile ya ufaransa. Huko ndo akacheze na wachovu wenzie.Basi angekua ni mbaya angemuuza lkn kwanini hamuuzi?????
uzuri wa mchezaji sio lazima conte ampange,mbona hiddink alimtumia sana msimu uliopitaAngekua mzuri, conte angemtumia. Jiulize kwanini hajapangwa hata match moja under conte reign???? Conte hataki hata atokee sub. Badala yake ana opt kwa kina loftus cheek, ola aina and chalobah.
Kwanini sasa hawamuuzi km hafai au wamtoe kwa mkopo hili ndo ninalo jiulizaMikel is good. Ila under Conte na zaidi sana kwa kuwa tuna Kante N'golo..ni ngumu yeye kupata namba. Mikel ni normal good, ndiyo alitusaidia sana 'huko nyuma'...lakini kwa sasa hana msaada mkubwa kwetu akiwepo Stamford Bridge.
It is time aende mahali atakapotumika zaidi, ndiye captain wa timu ya taifa ya Nigeria, he needs more game time ambayo hataipata Chelsea. At least kwa msimu huh!