OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Itakuwa ni balaa alafu ksho liver yuko na mteremko Sunderland daah! Ndo maana clop anajitamba sanaahao jamaa ni watata sana hasa wakiwa nyumbani pia hiyo mechi ni derby droo itakuwa vyema kwa chelsea
Kuwa na akiba ya maneno mzee....[HASHTAG]#wewatchinyou[/HASHTAG]Chelsea sasaivi imefikia kiwango kile tulichokua nacho wakati Mourinyo alipokuja mara ya kwanza
Huo ndio ukweli mkuu au unataka kulikataa???Kuwa na akiba ya maneno mzee....[HASHTAG]#wewatchinyou[/HASHTAG]
Kwanini mkuu???
Nawaheshimu sana wana jukwaa hili ila sizani kama mmekosa fadhila kiasi hiki
Kwamba ni rugby au mieleka?? Niseme tuu msiuzungumzie ubingwa kwa sasa
Kwanini mkuu???
Nawaheshimu sana wana jukwaa hili ila sizani kama mmekosa fadhila kiasi hiki
Kwamba ni rugby au mieleka?? Niseme tuu msiuzungumzie ubingwa kwa sasa
Sa Chelsea ana makali gani? Muda mwingine kwenye mpira timu kuwin haiitaji kuwa kwenye ubora wake mkuu. Chelsea kamfunga bromwich na Palace bila makali yoyoteAta km atabadilika bado sioni makali yao sn vile
Statistics zinaonyesha ktk hiyo michezo chelsea aliongoza kila kitu sasa unaposema bila makali unamaanisha nini???Sa Chelsea ana makali gani? Muda mwingine kwenye mpira timu kuwin haiitaji kuwa kwenye ubora wake mkuu. Chelsea kamfunga bromwich na Palace bila makali yoyote
Yani unavyoisifia Chelsea utazani itashinda kila mechiChelsea tulipoteza kwa lfc mapema sn wakati huo tulikua tunasuasua lkn kwa sasaivi sio rahisi kabisa.
Tarehe 4 tunaanza na Spurs, najua Spurs atataka kutawala mpira muda wote hapo ndio tutamfunga vibaya sn.
Chelsea ni timu inayocheza kwa nidhamu ya hali ya juu sn kwa dk zote sasa tulizeni ball muone hiyo j5
Kumbe ata hujui wilian alilia kisa nini mkuu?Hilo ndio kubwa mkuu lkn napenda kukwambia hivi sasaivi chelsea ata ikipata sare basi utakua ni msiba mkubwa hiyo ni sare tu.
Unaweza kuona hiyo hali ata kwa wachezaji. Jana Willian alivyofunga goli la tatu tu alilia machozi hii inatokana na uchungu wa timu wachezaji walionao na namna ya umoja na malengo waliyopanga sasa kukitokea shida kidogo inakua balaa.
Sasaivi umefika wakati wa mashabiki wa chelsea kutembea kifua mbele bila kuhofia timu yoyote.
Tarehe 4 tunamaliza kz na Spurs naijua nguvu yao sn hawa Spurs na namna watakavyocheza lkn tutaenda kwa nidhamu ile ile na malengo yale yale. Na baada ya hiyo game tukimpiga Spurs basi wao wenyewe wataanza kusema sisi ni mabingwa maana ndio wamebaki kusubiri ili waone chelsea itasimamishwa na Spurs kitu ambacho hakitotokea
Mpk sasaivi tumeshinda michezo 13 bado mingapi tumalize ligi???Yani unavyoisifia Chelsea utazani itashinda kila mechi
Wewe unaejua kwanini usisemeKumbe ata hujui wilian alilia kisa nini mkuu?
Mkuu labda atuambie yeye ubora wa team kwa uelewa wake unapimwaje? Maana kama haeleweki vile.Statistics zinaonyesha ktk hiyo michezo chelsea aliongoza kila kitu sasa unaposema bila makali unamaanisha nini???
Sasaivi hawa wakosoaji uchwara nitajibu hoja zao zote maana km chelsea sasaivi iko vzr na tuko tayari kwa yoyoteMkuu labda atuambie yeye ubora wa team kwa uelewa wake unapimwaje? Maana kama haeleweki vile.
Kwahiyo wewe katika maelezo yote hayo umechukua point ya Wilian kulia tu? Hahahaaa! Kijana inaonekana hupendezewi kwa current performance ya The blues,itabidi uzowee tu maana hakuna dalili yeyote ya Chelsea ku slow down, jiandae kisaikolojia tu ndio jambo lililobaki kwako hilo.Kumbe ata hujui wilian alilia kisa nini mkuu?
Mkuu huyo hayupo tayari kuelewa utapoteza time yako bure tu,Sasaivi hawa wakosoaji uchwara nitajibu hoja zao zote maana km chelsea sasaivi iko vzr na tuko tayari kwa yoyote
Tutafanya usajili mkubwa kwa hii January wa wachezaji wawili watatu kuimarisha kikosi chetu na kua na squad imara yenye wachezaji safi.....Mkuu huyo hayupo tayari kuelewa utapoteza time yako bure tu,
muache aendelee kuumia ndani kwa ndani huku sisi tukitizama kombe mbele yetu na si kingine.
Sawa....[HASHTAG]#wewatchinyou[/HASHTAG]Huo ndio ukweli mkuu au unataka kulikataa???
Nawaheshimu sana wana jukwaa hili ila sizani kama mmekosa fadhila kiasi hiki
Kwamba ni rugby au mieleka?? Niseme tuu msiuzungumzie ubingwa kwa sasa