Chelsea FC (The Blues) | Special Thread



Nilipenda ambavyo mashabiki wa Leicester walivyoshangilia pale ambapo mtangazaji alipotaja jina lake kwenye line-up ya Chelsea.

[HASHTAG]#sportsmanship[/HASHTAG]




Sababu ya Ranieri kupanga 3-5-2 leo ilikuwa kupunguza nguvu ya Kante. Msimu uliopita alisema wakati anapanga kikosi chake (Kante akiwepo) ilikuwa ni sawa na kuwa na midfielders watatu - yaani Drink water katikati na Kante kulia na kushoto kwake.

Shida ni kuwa Ndidi na Mendy bado sana kufikia level ya Kante.


Midfield ninayoiheshimu msimu huu kwa EPL ni ya Wanyama-Dembele pekee.




Humble guy from humble beginnings...akiendelea hivi atafika mbali! To create a name with the likes of Claude Makelele.
 


Cahill: I like him pamoja na kwamba najua kiwango chake bado si kiwango cha kuridhisha. Sio mhamasishaji mzuri saana (kwa maneno) ila nadhani pamoja na ukimya wake his passion tells he loves the team!!!
 
In memory of GRAHAM TAYLOR (1944 - 2017)



Timu zote weekend hii zitavaa black arm bands kukumbuka kifo cha aliyewahi kuwa kocha wa timu ya Uingereza, Graham Taylor, miaka ya 1990 hadi 1993.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…