Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #37,161
Yaan Fellain akianza na Herrera battle ya midfielder nimeishinda, hawataweza nguvu za Kante na Matic.Hahahaha ataanza siku, hiyo siku hiyo nakupa Fellain akumalize hhahah looooh ukitaja Fellain OT unaweza pigwa mawe japo kajitahidi kufunga ila bado hajajisafisha nyota
Huyu jamaa ana mizuka ile mbayaView attachment 467182
Antonio Conte akiwa pembeni akielekeza vijana wake.
View attachment 467183
Conte akishangia na mashabiki baada ya goal zuri la E. Hazard
Hahahaha weee subiri sisi untouchable na hatutabiriki hatuna first eleven inayoeleweka siku hiyo itakayokushukia ndiyo hiyo hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan Fellain akianza na Herrera battle ya midfielder nimeishinda, hawataweza nguvu za Kante na Matic.
Kazi itabaki ndogo sana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] we ngoja tu nakuambia, yaan labda Carrick na Herrera. Utanikimbia siku hiyo mshikaji wangu, na unavyokuwa mpole baada ya kipigo.Hahahaha weee subiri sisi untouchable na hatutabiriki hatuna first eleven inayoeleweka siku hiyo itakayokushukia ndiyo hiyo hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha upole asili yangu muulize hata Ntuzu!!! Sikukimbiii bana sasa na wewe utakuwa na misifa na mroho mipoint yote hiyo bado tu ugombane na mimi,embu acha uroho uko[emoji23] [emoji23] !!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] we ngoja tu nakuambia, yaan labda Carrick na Herrera. Utanikimbia siku hiyo mshikaji wangu, na unavyokuwa mpole baada ya kipigo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shida mkinifunga nyie pamoja na kocha wenu mtaongea sana. Bora tutoke draw, kocha wenu ana maneno mabaya sana.Hahahaha upole asili yangu muulize hata Ntuzu!!! Sikukimbiii bana sasa na wewe utakuwa na misifa na mroho mipoint yote hiyo bado tu ugombane na mimi,embu acha uroho uko[emoji23] [emoji23] !!!
Hahahahha lakni si alikuwa wenu amewapa maheshima kibao..... usijal mavi ya kale hayanuki!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shida mkinifunga nyie pamoja na kocha wenu mtaongea sana. Bora tutoke draw, kocha wenu ana maneno mabaya sana.
Yeah! Ni kweli alikuwa wetu na akiongea akiwa upande wenu huoni kama anaongea hovyo, waona raha tu.Hahahahha lakni si alikuwa wenu amewapa maheshima kibao..... usijal mavi ya kale hayanuki!!!
Man U safari hii tunawachapa[emoji23] [emoji85]
Conte hataki kumuuza Faby, anajaribu kutafuta mfumo ambao unaweza ku sue Faby na yeye acheze kwa wakati mmoja. Km ilivyokuwa kule Juve Pirol umri ulikua umeenda lkn Conte alikua anaona Pirol ana vitu vya ajabu ingawa alikua hawezi kwenda sambamba na kasi ya wengine. Akaswap kutoka mfumo wa wa 3-4-3 to 3-5-2 na Pirol akawa anapiga muda wote.ni time ya fabrigus kwenda kwenye timu ambayo atakua anapewa nafasi 1st eleven, inaniuma sana kumwona anakaa benchi..........