dume la kenge
Senior Member
- Apr 12, 2017
- 177
- 240
Inauma lakini inafikia hatua unakubaliana na situation ndo maana kuna siku conte alisema he doesnt care conceding kila mechi so long as amepata point tatu. Bora ushinde mechi kwa kufunga 8 kwa 7 kuliko kutoa sare yenye clean sheetTumeshinda ila hili la kuruhusu magoli namna hii inanikera kweli kweli yaan, mechi ya 11 bila clean shit
Yeah! Ni kweli usemayo mkuu....Inauma lakini inafikia hatua unakubaliana na situation ndo maana kuna siku conte alisema he doesnt care conceding kila mechi so long as amepata point tatu. Bora ushinde mechi kwa kufunga 8 kwa 7 kuliko kutoa sare yenye clean sheet
Almost mkuu, maombi yangu kesho Spurs atoe suluhu na jumapili afungwe na Arsenal.Come on Blues, almost Champions [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Amepotea malafyale......haaaaaaaaaaYaan brother najua unatuombea njaa ila ha ha ha ha ha ha. Pole kaka Tadic uliekuwa unamdhani hola
Dah.. Itakuwa poa kwa mahesabu hayoAlmost mkuu, maombi yangu kesho Spurs atoe suluhu na jumapili afungwe na Arsenal.
Bahatisha na wewe ufurahi, ukishindwa meza wembeWazee wa kubahatisha nawaona mnafurahi tu
Full time Chelsea fc 4:2 World1-1
Spurs mabingwa,nyie isha choka sana
Tuwe wakweli jamani
How?Why?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 501140
David Luiz akishangilia goal la Cahil
nakusalimu tena kiongoziKombe la Mbuzi?
Soton kesho anakuchapa
Tadic
top 4 wataingia kutokana na liverfool kuwa mbovuMmmm wao wenyewe wanaweza wakakosa both europa and top 4
salamu zimefika, hongereni kwa ushindi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hii ndio chelsea yenye character ya kuwa bingwa, ubao unasoma 1-1 team nzima inachafukwa na kutafuta goli la kuongoza
Wapinzani wanachukia tuu ila wanajua fika chelsea anastahili hili taji