Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Wachezaji gani ambao wame-underperform? Chelsea imekamilika upande wa mabeki kuliko timu yoyote ya EPL. Tunahitaji tu mtu wa kushika namba ya Bakayoko ambaye bado hajawa fiti kwa ajili ya mechi. Na wing back zinahitaji mtu mmoja wa kuleta ushindani au akisajiliwa beki(say van Dijk) basi Luiz anaweza kucheza kama defensive midfielder au Azpilicueta akacheza kama Wing Back. Mbele pale Morata anatosha sana. Na Hazard na Pedro wakirudi basi ndo sipati picha hii timu itakuwaje. Shida itabaki kwa kocha maana atachanganyikiwa kupanga kikosi chache. Maana sasa nani atakaa benchi? Willian? Fabregas? au nani? Hapo kumbuka vijana Boga, Musonda, na Christen bado wako benchi pamoja na Batshuay.
Kijana kitambue vizuri kikosi cha Chelsea ndo uje kukizungumzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo..mkuu vipi mbona hukutupa mrejesho wa supercup???????
NakusalimuuuMourinho kamnunua refa leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa kweli msimu huu tunakazi sana best maana mambo si mambo
Msimu upya matatizo ya Chelsea ni yaleyale mna kikosi kidogo sana wakiumia/suspension kwa 2/3 key players timu inakufa kabisaMsimu mpya mkuu wote tunaanzia zero
Kho kho kho...Unaona raha kesho tutakuona
Jirani yangu wa kiwango cha std gauge
Nipo hapa natoa poleecute b njoo huku uone wenzio wameinamishwa...jamaaa wanaingiza wao wanacheka cheka tu ha ha ha
Keleuwiiiiiii, inamaaana nyie kila siku parapanda inalia kwenu...
Hahahahahahaaaa acheni kulia lia nyie.
Okay mmefungwa lakini.Kweli Chelsea tuko vizuri; game ya leo tumeitoa kama kafara....
Wakosoaji mnakaribishwa game zijazo
Sent using Jamii Forums mobile app
HuhuhuuuuuEndelea kuwaza vibonde ..mpira unabadilika mkuu ..ngoja utakutananayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Majeruhi wengi. Kikosi bado kinahitaji wachezaji wengine wapya. Kwa game km ya leo kupata ushindi ni kazi kwa sababu wachezaji psycholigically they are not ok. Labda suluhu otherwise mpira dakika 90.
great player [emoji15] [emoji15] baada yakuja Chelsea?? au toka akiwa mpigaji story ktk mabench Madrid [emoji14] [emoji14]Finally Morata has scored and 1 Asist, even If we have lost the Game he have shut-up those who are Saying Negative About him. He is really a great player" u better be careful he is Coming With Full Force.....!!!
Sent using Jamii Forums mobile app