Assno ni ya saba huko, one point ahead of huddersfield (whatever the name) Newcastle and burnley alafu unasema ni title favorites? You might be kiddingna pia uangalie hizo game ni against nani? Arsenal na Man City ni title favourites hao.kwahiyo huwezi kusema eti chelsea huwa hawashindi game wakitoka kucheza uefa kwa kutumia mifano hiyo miwili.
Kumbe wewe jamaa ni kiazi by nature,mimi nilijua kule kwenye jukwaa la celebrities huwa unajichetua tu..!Hii match matokeo halali ilikuwa ni sare
Basi tu tumelost
Santana niliwapigia wakaniomba 45000 halafu na namba ya account bank kisha majina matatu pamoja na umri Wang halfu wanasema ndani ya masaa 3 utawekewa kwenye account yako million 60 dah hapo ndipo niliposhituka.Usiumize kichwa humu utapata mawazo na sio majibu.
Chukua hizo namba piga na fuata maelekezo then lete mrejesho na sisi tujue kama ni kweli au ni uzushi.Allah akbar
Leo city atakula mbili bila akawadithie wenzake.
Kidgo najaribu kujueleewz umeongea ki sport sana hujapendelea upande wowoteChelsea in wazuri ila city walikuwa wazuri zaisi. Kikosi ni kizuli na uhakika msimu huu mtamaliza juu ya united. Japo wametangulia lakini kwa aina ya mpila mnaocheza timu bado cyo mbaya kihivyo.
Chelsea in wazuri ila city walikuwa wazuri zaisi. Kikosi ni kizuli na uhakika msimu huu mtamaliza juu ya united . Japo wametangulia lakini kwa aina ya mpila mnaocheza timu bado cyo mbaya kihivyo.
sawa Arsenal yupo nafasi ya saba lakini kacheza michezo 6 hadi sasa ana michezo 32 that means kuna 96 points he is fighting for mind you EPL is marathon not a sprint.Real Madrid yupo nafasi ya 6 La Liga vipi na yeye siyo title favourite?Assno ni ya saba huko, one point ahead of huddersfield (whatever the name) Newcastle and burnley alafu unasema ni title favorites? You might be kidding
La Liga title favorites ni wawili tu. Unafananisha na EPL?!!sawa Arsenal yupo nafasi ya saba lakini kacheza michezo 6 hadi sasa ana michezo 32 that means kuna 96 points he is fighting for mind you EPL is marathon not a sprint.Real Madrid yupo nafasi ya 6 La Liga vipi na yeye siyo title favourite?
Atletico Madrid siyo title favoutites?Valencia?halafu sijafananisha La Liga na EPL labda kama una tatizo la kuelewa au uelewa wako ni hafifu nimetolea mfano wa nafasi ambayo Madrid anashika huko La Liga kwasababu jamaa alisemea Arsenal kushika nafasi ya 7 siyo title favouritesLa Liga title favorites ni wawili tu. Unafananisha na EPL?!!
Siyo! Angalia odds zao mzee!Atletico Madrid siyo title favoutites?Valencia?
kwahiyo odds ndo zinakwambia nani title favourites? we ni mtu wa mpira au mtu wa kubeti? unajua maana ya title favourites lakini?Siyo! Angalia odds zao mzee!
Inakuwaje title favourite (Valencia) imemaliza ligi nafasi ya 12 kwa misimu 2 iliyopita ?Atletico Madrid siyo title favoutites?Valencia?halafu sijafananisha La Liga na EPL labda kama una tatizo la kuelewa au uelewa wako ni hafifu nimetolea mfano wa nafasi ambayo Madrid anashika huko La Liga kwasababu jamaa alisemea Arsenal kushika nafasi ya 7 siyo title favourites
nafkiri saiv chelsea tunakikosi kipana zaid ya tim yoyote England
Sent from my Iphone7 Using Jamiiforum mobile app
Jamaa ushabiki umemtia upofu.. Kama Chelsea ina kikosi kipana MUFC tusemeje?Kweli kabisa
Jamaa ushabiki umemtia upofu.. Kama Chelsea ina kikosi kipana MUFC tusemeje?