ngikangalu
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 153
- 110
Well said...conte ni mbovu mno kwenye game progress...option anayoingia nayo ikibanwa huwa hana mlango mwingne wa kuchomokea....ni more predictable...na wengi washamsoma na kwa sasa ana mechi rundo...kuwatumia wachezaji wale wale mda wote duh...All in all, Conte inatakiwa ajue nan wa kumwanzsha na nan wa kumwingiza kama sub, maana timu ina wacjezaji wazur ila kuwapanga kulingana na timu pinzani ndio ishu.
Mfano kikos alchokipanga mechi ya Stoke kilkuwa sahih sana na hata mech ilikuwa nyepes ingawaje stoke ni wabshi na ikumbukwe waliwatesa sana Arsenal na Man u
Kwani spur na totenham ni timu tofauti mbona nimewataja kwa jina la spur!Kwann unamwacha Totenham, naye ni moto wa kuotea mbaali.. baada ya Man Cty
Mi huwa ukisema manure wapo vizuri sijui huwa unamaanisha nini, umewapima kwa kucheza na nani? ........ hao manure sioni hata wakimaliza big4, liva hujawataja hapo ila wapo vizuri kuliko hat hao manure. Hii comment yangu nitaiweka km kumbukumbu kwamba manure ni timu mbovuu! na wala big4 haitakuwemo.
bado umri unaruhusu ndo kwanza ana 26Naona OSCAR anataka kurudi darajani kiaina coz kasema atakuwa mwenye furaha akirudi stamford bridge.
hayo yote kayaongea jana akihojiwa na ''premier league brasil''.
Endelea kufikiri.Nafikiri ni muhimu SASA kwa conte, ambaye ni kocha nzuri, afanye mabadiliko makubwa kwenye defence aweke WATATU nyuma luis, rudiger na azilicueta, amuweke bench Cahill kwani namuona hayuko vizuri sana na mieldfielders ni fabregas, kante na bakayoko, William na hazard na mbele morata. Kwenye ambazo ni ngumu kama na man united, Liverpool, arsenal, Tottenham na man city, ni muhimu nafasi ya fabregas akacheza drink water ni very compact mildfielder.
Bossi hili tangazo umelipia?? Chelsea fans tunapataje mgao??ENJOY THE FOOTBALL PREDICTION & BETTING TIPS OF THE MOST BIGGEST LEAGUES TODAY ON BONGOTIPS.COM
DO YOUR KNOW HOW THE BEST WINNING OPTION OF DOUBLE CHANCE MAKES YOU TO ENJOY YOUR DAY, CLICK HERE TO SEE Double chances
18 WON , OUT OF 20 UP TO NOW......
leo atafanyiwa vipimo kujua tatizo lake litamuweka nje kwa siku/wiki/mwezi/mieziNgolo Kante anaendeleaje maana Jana alitoka injured??
Marafiki cante mpaka january msijali lakini hata sisi fellain kaumia,,
Hii michuano ni shida asee.??[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji15][emoji123]
Umefurahi sana eeeMarafiki cante mpaka january msijali lakini hata sisi fellain kaumia,,
Hii michuano ni shida asee.??[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji15][emoji123]
inategemea na mechi,Pogba hajacheza mechi kadhaa sasa na mmepata matokeo bila tabu kwasababu hazikuwa ngumu kwenu kiasi cha kum miss Pogba ngoja mechi ya Liverpool ndo mtaona pengo lake.Sisi Fellain Pogba, Fellain, Carrick wapo sidelined, lakini we are still kicking maana kikosi chetu kina depth ya kutosha. Ila dah nawaombea hawa jamaa pamoja na kuwa ni wapinzani ila Kante akiumia Chelsea watapata tabu sana maana pale ndipo zilipo tunguri zote za Conte.