Ha ha ha usipate shaka ndugu Mimi natokea Man U, nikaona so vibaya kupitia na huku niwasabahi na kuchunguza matatizo mlio nayo
Chls kwa sasa ina tatizo la kiungo, mbaya zaidi Fabregas hawezi kuisaidia timu pale inaposhambuliwa pia bakayoko ni mzito hawezi kutunza mpira na kutoa pasi zinazoeleweka zaidi ya kupoteza Mpira
Upande wa beki Cahili anaigharimu timu toka msimu uliopita bora angemuhacha Zouma angeisaidia timu upande wa nyuma kutulia, pengine uingereza wa Cahili ndo sababu ya kupewa nafasi
Conte hasipobadilika basi ajiandae kufukuzwa
Msimu huu
Chelsea imekuwa timu nyepesi kuliko wakati wowote ule , Leo timu inaainga kupata matokeo hata kwa timu ndogo haivutii kwakweli, bora Conte aondoke kwa faida ya timu msimu huu
Tottenham unajua imetumia miaka mingapi kujijenga?mkuu kikosi ni kizuri ona spurz hawajafanya usajili wa kutisha ila pochetino ni mbunifu anawaamini wadogo kama[winks+trippier+sanchez+etc] ona wanavofanya kazi hadi madrid na viungo wao akina modrid+casemiro+alonso walipoteana kwa watoto wadogo akina winks+dier.
kwanini conte asimpange Kennedy namba ya alonso??????? alonso anacheza kama bado yupo sunderland.
tuna vijana wazuri sana akina[KENNEDY+ANDREAS+MUSONDA+SCOTY] so why asiwape nafasi kama pochetino afanyavo?????
anakumbatia watu wasio na morali wanacheza kama wanalazimishwa.
Kwa stahili hii ya ushabiki Chelsea hatutakuja kupata timu stable. Tofauti na Kante pale kati hakuna mtu mwenye kiwango cha Matic. Hivi kweli unaweza kusema Drinkwater apewe over Fabrigas!? Yani mtu hana hata wiki 2 tangu amerecover from injuries ndo achezeshwe?HIVI Inakuaje kocha CONTE hayaoni matatizo ya team ambayo yapo wazi hadi sisi mashabiki tumeyaona kwa mda sasa??????
1.ALONSO-kiwango kimeporomoka anaendelea kumpanga wakati kuna kijana wa kibrazil kennedy ni mzuri na anaku ofer vitu vingi
2. Cahili kuwa team captain wakati hastahili hata kukaa sub.
3. Azpiculeta hawezi wingback mpange sehemu anayokuwa confortable.
4. Fabregas mwaka jana hakuwa anacheza na tulikuwa tupo vizuri katikati[kante+matic] una drink water mtu wa kazi fabregas mhenga wa nini?????? fabregas is a liability and he is punishing us.
5. Bakayoko-huyu bwana ni mzito anatakiwa afanye sana zoezi la pumzi na kukimbia.
YAANI SISI FANS TUONE MATATIZO KULIKO WEWE UNAEKAA NAO MDA MWINGI??????
Pochettinho kajenga timu muda wa miaka minne acha kumlinganisha na Conte ambaye amekaa msimu mmoja. Kama mnataka kuiona Chelsea nzuri mpeni hata miaka 3 alafu tuache huu ushabiki wa kutoka kubeba vikombe kila msimu kwa aina ya timu tuliyonayodogo anacheza vizuri, fabregas haoni ndani ila yeye conte kabaki kuwakumbatia akina fabregas, hivi hamuoni POCHETINO?????
wote akina Delle Alli, Harry Kane, Trippier, Winks yeye ndo kawakuza na saizi wanakuwa wanaogopeka hadi madrid anavuliwa boksa.
Pochetinho katumia miaka zaidi ya minne kujenga timu. Chelsea tupo tayari kumpa muda Conte ili aijenge timu? Maana usifikiri vijana watakupa unachotaka immediately ndani ya msimu moja.POCHETTINO kani impress sana alivoitengeneza spurz hasa kwa kukuza vipaji na kuwaamini vijana.
hata jana nilijua madrid anafungwa kwa jinsi spurz walivo motivated
Ila sisi tunaongoza kutoa wachezaji kwa mikopo.
HIVI UNAJUA CHELSEA TUNA VIKOSI VITATU TUMEVITOA KWA MKOPO?????? meaning wachezaji 34
Timu yetu ni ya kuunga unga kila msimu ndo maana tunaonyesha mpira mbovu. Tumpe kocha muda kama alivyopewa PochettinhoKwahiyo hata kama team yetu inaungwa kizembe na kucheza mpira mbovu tusikosoe tukae kimya kama tumekatwa vichwa sio?????????????????
hivi unajua jinsi sisi die hard fans tunavoumia chelsea ikifungwa na kucheza mpira mbovu kama sunderland???????????
nadhani wewe utakuwa fan wa wenger.
Kwa stahili hii ya ushabiki Chelsea hatutakuja kupata timu stable. Tofauti na Kante pale kati hakuna mtu mwenye kiwango cha Matic. Hivi kweli unaweza kusema Drinkwater apewe over Fabrigas!? Yani mtu hana hata wiki 2 tangu amerecover from injuries ndo achezeshwe?
Hili ndo linqmfanya Pedro kucheza chini ya kiwango msimu huu. Ametoka kwenye majeraha tena kabla hajapona tukaanza kumtumia community shield and since then tumemharibu.
Mm nashauri mashabiki wa Chelsea tuwe patient kama walivyokuwa mashabiki wa Tottenham na sasa wanajivunia stable team. We can't win the title every season. Tuache ushabiki maandazi. Tumpe kocha muda. Na kama tukimfukuza Conte itachukua muda kumpata kocha wa aina yake
Pochetinho katumia miaka zaidi ya minne kujenga timu. Chelsea tupo tayari kumpa muda Conte ili aijenge timu? Maana usifikiri vijana watakupa unachotaka immediately ndani ya msimu moja.