ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Uchambuz wako nineukubali ila kuna pahala lazima upaweke sawa napo ni unaposema tumpe mda conte wakat huohuo unasema timu inaendeshwa kibiashara na movichi anayetaka ushnd wa papo kwa hapoTimu yetu ni ya kuunga unga kila msimu ndo maana tunaonyesha mpira mbovu. Tumpe kocha muda kama alivyopewa Pochettinho
Usitegemee jipya atakalofanya ni yaleyale ndo hapo naposhindwa kumuelewa huyu kocha
Hofu yangu ni, akianza Cahill huenda Azpilicueta akapangwa wing tena!
kwani hizo beki hazikuwepo mechi ya Roma?Kama sitaona hizi beki kule nyuma basi tunafungwa tena
Rudiger, luiz, asp
Rudiger luiz cahilkwani hizo beki hazikuwepo mechi ya Roma?
Rudiger luiz cahil
Na alipokosea sana ni kumchezesha Asp katikati wakati zapa yupo
Nafikiri pia ni muda wa ndrnkwater kuanza kucheza na kante
Nazungumzia upangaji wa kikosi nduguHao ni akina nani? sio Azpilicueta Luiz Rüdiger? ukabaji wenyewe ndo huo wa hao watu unaowataka au?View attachment 623923
Hiyo picha ni wakati ambapo Cahill kashatoka na Willian kuingia mabeki wakarudi kucheza Azpilicueta Luiz na Rüdiger huku Pedro akienda kucheza wingback.Swali langu kwako wewe unaesema kwamba backline isipokuwa Azpilicueta Luiz Rüdiger tutafungwa ni je hao mabeki hawakufanya makosa mechi ya Roma? kwasababu Cahill alitoka matokeo yakiwa 2-0 je hilo la 3 si lilipatikana mabeki wakiwa Azpilicueta Luiz Rüdiger.Nazungumzia upangaji wa kikosi ndugu
Huwezi kumchezesha cahili nyuma halafu Asp umpeleke katikati
Cahill ndie captain wa timu, tunategemea Cahill akiona uzembe wa beki yoyote yule amkunje hata jezi, sasa yeye mwenyewe makosa kibao na wenzake ndio hivyo ni kama timu haina Captain uwanjaniHiyo picha ni wakati ambapo Cahill kashatoka na Willian kuingia mabeki wakarudi kucheza Azpilicueta Luiz na Rüdiger huku Pedro akienda kucheza wingback.Swali langu kwako wewe unaesema kwamba backline isipokuwa Azpilicueta Luiz Rüdiger tutafungwa ni je hao mabeki hawakufanya makosa mechi ya Roma? kwasababu Cahill alitoka matokeo yakiwa 2-0 je hilo la 3 si lilipatikana mabeki wakiwa Azpilicueta Luiz Rüdiger.
Naona wengi mmekuwa mkimshushia lawama Cahill kila tunapofungwa goli hata kama kosa si lake sina maana ya kwamba Cahill hafanyi makosa la hasha lakini mabeki wote wanafanya makosa sana msimu huu tofauti na msimu uliopita Azpilicueta ameshuka kiwango Luiz kashuka Cahill kashuka Alonso kashuka Rüdiger na Christensen nao hawana consistency leo watafanya vizuri kesho watafanya mistake.
Vipi ile operesheni uliyokuwa unaendesha ya "Klopp Out" baada ya kutandikwa mikwaju minne pale wembley imeishia wapi?
Cahill ndie captain wa timu, tunategemea Cahill akiona uzembe wa beki yoyote yule amkunje hata jezi, sasa yeye mwenyewe makosa kibao na wenzake ndio hivyo ni kama timu haina Captain uwanjani
Usitegemee jipya atakalofanya ni yaleyale ndo hapo naposhindwa kumuelewa huyu kocha
Katika mchezaji ambaye anatakiwa kuumia na kukaa nje msimu mzima ni cahill
Duu umezidi kumchukia hadi unataka aumie kabisaKatika mchezaji ambaye anatakiwa kuumia na kukaa nje msimu mzima ni cahill