The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Mkuu Costa ameondoka, Matic naye. Wameingia watu 5 kwa hiyo muda unavyoenda tutapata kikosi cha maana. Napata shida upande wa kushoto kati ya Cahili na Rudigar nani aanze. Ila Luiz akileta utoto wake na nidhamu mbovu atakaa kwa dogo ChristensenSiku ukimwona aspi ameanzishwa kati basi jua tunafungwa
Ila kikosi cha leo nimekipenda hata cahili amenisaprise leo
Conte inabidi ashikilie hiki kikosi
Hongera kwa ushindi dear.Kimoja tu kitakatifu kimeganda mpk kubyeee.
Nilikwambia my dear wife. Have you seen that???
Tumeshayajua Mkuu...Msubirini kwanza martial na felain waingie ndo mtajua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Cahili yupo jamani? Maana kuna wadau hawampendi
Carhill kamuangusha kizembe Felani ndani ya penalty box bahati nzuri refa hakuona. Carhill ni mzito sijui kwanini anapendwa na Conte
Si ulikuwa una muombea Cahil aumie ili akae msimu mzima..Siku ukimwona aspi ameanzishwa kati basi jua tunafungwa
Ila kikosi cha leo nimekipenda hata cahili amenisaprise leo
Conte inabidi ashikilie hiki kikosi
Hakuna siku msimu huu Fab amecheza mpira kama leo.Naangalia wa juzi...faby ashachoka mkuu anakaba kwa kutumia macho
Yani leo Fabregas kaonekana bora tangu msimu uanzeHakuna siku msimu huu Fab amecheza mpira kama leo.
Asante dear.Hongera kwa ushindi dear.
Leo hakua na majukumu ya kukaba.Hakuna siku msimu huu Fab amecheza mpira kama leo.
Siku ukimwona aspi ameanzishwa kati basi jua tunafungwa
Ila kikosi cha leo nimekipenda hata cahili amenisaprise leo
Conte inabidi ashikilie hiki kikosi
Sikatai fab kacheza vizuri mno lakini kadri muda ulivosonga alichoka....Hakuna siku msimu huu Fab amecheza mpira kama leo.
Imebidi nicheke tuuLeo hakua na majukumu ya kukaba.
Hayo majukumu yamefanywa na mjukuu wa Mama Ndalichako Ngolo Kate na Kidogo Bakayoko. Umeona Faby ata alivyokua anakimbia?? Kizembe lkn pass lazima ifike nyuma ya mabeki na Morata anawakosa kosa
Labda ila naamini mchezaji hawezi kushinda kila mpira kama mashabiki tunavyotakaSikatai fab kacheza vizuri mno lakini kadri muda ulivosonga alichoka....
Kweli mkuu...Leo man u angeogea Magoli mengi sana. Basi tu...all in all tumepata 3 pointsTimu imecheza vizuri sana ujio wa kante umesaidia sana kati ukapatikana uhuru wa fabregas na bakayoko mapungufu yetu tangu msimu uanze timu imekosa umakini hasa kwenye mipira ya mwisho