Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cahil ameupiga mwingi kweli
 
Hongera kwako kiongozi...

Ila mwenye tunguli zake pale kati amerudi kwa kasi tena kwa hasira sana, mpaka una shangaa huyu mtu kweli katoka injury..?

Ila huyu Christensen sijui nimuelezeje ana nikosha mno kwakweli, mtoto katulia mno, ana kaba kiakili, akiwa na mpira hana papara anaumiliki ana piga pasi za uhakika. Ila ana akili ya kukaba kuliko kutumia nguvu.

Lakini conte simuelewagi kabisa kuhusu hazina hii tuliyonayo.
 
Kz kwake Luiz benchi litamuhusu sn tu
 
Mwenzio KHALIFA AM nimemwambia alete starts atuzibe midomo tunam troll cahili kakimbia.
so naomba wewe utusaidie sisi tusiomkubali cahili ili tuonekane tuna chuki binafsi
wala sikukimbia kama unavyodhani bali niliona tunaongea lugha mbili tofauti hatutafikia mwafaka wewe umekariri mpira mimi nimeelewa mpira so niliamua kuto waste energy zangu kukuweka sawa.
 
Luiz amekosolewa sana na mchezo wa Roma kwamba yeye ndio sababu kubwa ya kushindwa kwa Timu. Nahisi Conte kama kasikia kilio cha wengi.japo Conte anadai ni technical dropping
Conte anapokuja nje ktk media hawezi msiliba mchezaji wake. Atatafuta maneno tu azibe hapo lkn ukweli ni kwamba Luiz kapigwa mkwara na akaambiwa benchi lazima limuhusu
 
wala sikukimbia kama unavyodhani bali niliona tunaongea lugha mbili tofauti hatutafikia mwafaka wewe umekariri mpira mimi nimeelewa mpira so niliamua kuto waste energy zangu kukuweka sawa.
Alichokua anaongea huyo mdau wala alikua hakijui na Leo yale tuliyomwambia ameyaona mwenye


What great performance for Gary Cahill today and Andre with Azpilicueta?
 
Kwa wale wapuuzi wachache wanaoangalia mpira bila kuelewa nini wanaangalia na nini maana ya mpira walikuwa wakisema:
1.Cahill akianza Chelsea inafungwa
2.Cahill akianza Chelsea haitoki na Clean Sheet
3.Cahill ndio chanzo cha Chelsea kufungwa magoli.
Leo naomba mrejesho wenu mnajijua haina haja ya kuwatag hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…