Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Mkuu mimi tangu jana nilishazisoma mentality za huyo jamaa wakuitwa Nando na mwenzie Kalou nikaona ntapoteza muda wangu na hawatokaa waelewe daima.Alichokua anaongea huyo mdau wala alikua hakijui na Leo yale tuliyomwambia ameyaona mwenye
What great performance for Gary Cahill today and Andre with Azpilicueta?
Mkuu ata wewe????Kule jukwaa na Liverpool yuko mwingine wa aina yako anaitwa Malafyale , karibu jukwaani
Nilitaka tu kumwelewesha lkn niliona ni mbishi.Mkuu mimi tangu jana nilishazisoma mentality za huyo jamaa wakuitwa Nando na mwenzie Kalou nikaona ntapoteza muda wangu na hawatokaa waelewe daima.
naona unaruka ruka tu endelea kuruka ruka tu hivyo hivyo lakini bila ya shaka somo kuhusu Cahill lishaanza kuingia akilini mwako.Nilisema hivyo hivyo kwenye match vs Roma ila baada ya mechi hukuja kuni-quote
Bado Nina doubt naye sana, let him prove me wrong on the pitch kama alivyofanya leo, pia Mimi huwa sibebwi sana na matokea mazuri ya hapa na pale ,consistency ndio muhimu ..Mkuu ata wewe????
Mpe stahiki yake Captain wetu Cahill.
Hizi tabia za kujaza jukwaa kila timu ikishinda ziko kwenye jukwaa la Liverpool na Arsenal huko , sisi tuko hapa kiangazi na masika .Nakukaribisha tena jukwaaninaona unaruka ruka tu endelea kuruka ruka tu hivyo hivyo lakini bila ya shaka somo kuhusu Cahill lishaanza kuingia akilini mwako.
Mkuu if you are true blue you can't be like that.Nilisema hivyo hivyo kwenye match vs Roma ila baada ya mechi hukuja kuni-quote
Ata km Consistency ndio nzuri makosa ya wengine usimuangushie CahillBado Nina doubt naye sana, let him prove me wrong on the pitch kama alivyofanya leo, pia Mimi huwa sibebwi sana na matokea mazuri ya hapa na pale ,consistency ndio muhimu ..
Kuna watu wakikusikia unavyo msifia Cahil, usije shangaa upo Kenya kwenye matibabuCahil ameupiga mwingi kweli
Tuyaache haya,ila tukimuuza huyu dogo Adreas tutapata laana haki ya nani tenaAta km Consistency ndio nzuri makosa ya wengine usimuangushie Cahill
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi Lukaku leo alikuwepo uwanjani kweli?
Hakuonekana kabisa, huyu mtoto Christensen ana roho mbaya sana
Hauzwi mkuu. Ndo mana yuko hapo kz anaijuaTuyaache haya,ila tukimuuza huyu dogo Adreas tutapata laana haki ya nani tena
Wee muache tuuLuiz sasa hv anacheza kifaza faza sana