Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

All the best kwake, katusaidia kupata UEFA, EPL, FA .... Ngoja tuone atakayechukua nafasi yake atakuwa na ufanisi gani
 
All the best kwake, katusaidia kupata UEFA, EPL, FA .... Ngoja tuone atakayechukua nafasi yake atakuwa na ufanisi gani
Marina Granovoskaia simpendi vibaya. Huyu jamaa ndio hataki Chelsea inunue wachezaji wazuri huku linataka mafanikio.

Ona sasa Michael kaachia ngazi kwasababu anaona anaingizwa ktk mzozo wa kipuuzi Kati ya Conte na Marina. Ukizingatia yeye Michael ndo alimleta Conte.

Jana Conte angefungwa na Utd Leo alikua anafukuzwa.


Ata hivo bado kakalia kuti kavu
 
Naskia vyombo vya habari vikidai hakuna mawasiliano ya moja kwa moja kati ya Marina na Conte,
 
Shabiki wa kweli anakubaliana na ukweli,wewe ni shabiki maandaz tu. Soma comment ya ntuzu inakubaliana na habari niliyoileta usipende kutoa povu bure
Hongera kwa kuzambaza habari za kimbea mbea.


 
Naskia vyombo vya habari vikidai hakuna mawasiliano ya moja kwa moja kati ya Marina na Conte,



Luiz kapost punde tu ktk account yake ya fb nafikiri January anaweza kaondoka kutimkia zake China
 



Luiz kapost punde tu ktk account yake ya fb nafikiri January anaweza kaondoka kutimkia zake China[/QUOTE]
Aende tu mduanzi huyo
 

Marina Granovoskaia ni mwanamke mkuu.

Ofcoz huwa anazingua sana but hata Elemano hawezi kukwepa lawama
 



Luiz kapost punde tu ktk account yake ya fb nafikiri January anaweza kaondoka kutimkia zake China
Tumewaza pamoja. Tangu mechi ya atletico. Mpaka ile ya kufungwa goli 3 na roma. Nilishagundua asipojiangalia. Chelsea ataiona chungu.
 
Marina Granovoskaia ni mwanamke mkuu.

Ofcoz huwa anazingua sana but hata Elemano hawezi kukwepa lawama
Marina alimfanya Conte ktk hizi siku akiwa anaiandaa team kukabiliana na Utd akose ujasiri wa kuwaanda wachezaji kwa totally involvement ambayo huwa anafanya na wachezaji wake hapo Cobham. Matokeo yake akawa anawaelekeza kwa mbali km mtu ambae anaondoka au mtu aliefanya ubazirifu na wakaguzi wanamkagua sasa ofisi anaiona chungu na kukimbia anashindwa.
 
Marina Granovoskaia ni mwanamke mkuu.

Ofcoz huwa anazingua sana but hata Elemano hawezi kukwepa lawama
Elemano na yeye ana sehemu yake ya kulaumiwa. Lkn ktk hili sakata mimi nitasimama kwa Conte.

Hawawezi kudai team ipate matokeo chanya wakati hawataki kusajili wachezaji ambao kocha anawataka.

Hawawezi kudai mafanikio wakati team ina kikosi kidogo kuliko Utd au City.

Conte awabane hapo hapo maana anawaprove wrong. Kwa kikosi kifinyu na majeruhu anapata matokeo mazuri hivo hivo. Km ni uzembe wa wachezaji ana wamwagia mbovu shutuma zao.

Mtaliano huyu sio km Mourinho
 
MATEGEMEO YA WENGI JUU YA MECHI YETU:




MATOKEO YAKE:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…