Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Hii sasa haina mashaka. Kwamba mnakwenda hukuView attachment 732463
Yeah hua napita pita maeneo haya piaUpo huku?
Kwanza mkuu mbona ulipotea sana. Mliposhinda tu ndio ukaibukaSina mwenzangu nipo kivyangu..
Mkuu kwani hii ligi wanashiriki vilema.?Hii sasa haina mashaka. Kwamba mnakwenda hukuView attachment 732463
Kwanza mkuu mbona ulipotea sana. Mliposhinda tu ndio ukaibuka
Mkuu unapiga skul nini.?Mwezi wa 1 na 2 nilikuwa bize ndugu....nikiwa free nakuwa humu muda mwingi....
Mkuu unapiga skul nini.?
Hongera kiongoziNapiga paper mwezi ujao namaliza....
Hongera kiongozi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Tuache sisi tulishakufa muda mrefu tuu
Ukimuona shabiki yoyote wa Arsenal ujue nimzimu tuu
Ndio yale yale ya MourinhoCONTE:
Wachezaji nilio pendekeza waje hawakuletwa bali bodi na owner ndiyo anaamua nani aje!
Conte kaongea kwa uchungu sana,mambo ya Owner kuleta wachezaji anao wapenda yy sio mageni Chelsea
Wewe nilishakwambia utapigwa mech zote kubwa ulibisha sana sale ya barcelona uliona umepona ugonjwa wako aiseeTena nyie ndio wazoefu. Mnapigwa kama kenge vile.
Hii sasa haina mashaka. Kwamba mnakwenda hukuView attachment 732463
mkuu za masiku....Wakizubaa watacheza mtoano wa europa kugombea nafasi na burnley mana arsenal kawasha moto atawapora ile nafas maisha yanaenda kasi mno kupigwa kepu nyumban sio jambo la mzaha mshakuwa gari la mkaa.
Teh ukiacha Man City ambae kanipiga nje ndani na Liverpool ambaye bado sijacheza nae. Niambie ni timu gani imenipiga nje ndani.? Tot nilimpiga kwake kaja kunipiga kwangu. We nilikugonga. Shut up!!Wewe nilishakwambia utapigwa mech zote kubwa ulibisha sana sale ya barcelona uliona umepona ugonjwa wako aisee
Miaka ya karibun chelsea akitoka kuchukua ubingwa huwa mdebwedo sijui kwa nini mnatumia nguvu kubwa au conte mkimfukuza ni kumuonea tu
Nilikuambia naanza kukukaza mm huko uendako ni mwende wa kuliwa tu ulibisha ya kwapi? Vichapo tu na badoTeh ukiacha Man City ambae kanipiga nje ndani na Liverpool ambaye bado sijacheza nae. Niambie ni timu gani imenipiga nje ndani.? Tot nilimpiga kwake kaja kunipiga kwangu. We nilikugonga. Shut up!!
Sawa mkuu umesikikaNilikuambia naanza kukukaza mm huko uendako ni mwende wa kuliwa tu ulibisha ya kwapi? Vichapo tu na bado