Sasa strike mwenyewe mmeinvestHaina haja kulilia maziwa yaliyokwisha mwagika.
Kwa Costa kweli tulikosea nadhani hiyo treatment ya Costa ndiyo ilipelekea hata Kocha kuondoka.
Ila Costa sio striker pekee aliyebaki. Tunaweza invest kwa striker mwingine au alternative bora ni kutafuta striker wa kawaida na kuinvest zaidi kwenye attacking midfielders/wingers na defensive midfielders.
My friend, huyo Giroud ambaye hajafunga WC nzima kacheza mechi zote. Sometimes, contribution yako katika timu inafunika ukame wa magoli.Sasa strike mwenyewe mmeinvest
N groud?????
Mara 10 mngenunua hata Auba
Haa haa haa aiseee ningeshangaaMy friend, huyo Giroud ambaye hajafunga WC nzima kacheza mechi zote. Sometimes, contribution yako katika timu inafunika ukame wa magoli.
Kwa sasa kuna nani mpya...Giroud na Morata. Na kwa hao wawili, ni heri kumtaja Giroud kama main striker.Haa haa haa aiseee ningeshangaa
Sana ungenambia huyo ndo strike mnaemtegemea
C tulishamuuza, basiii...!!!!Chelsea mlikosea sana kumuuza
Costa
Groud na morata hao n kamaKwa sasa kuna nani mpya...Giroud na Morata. Na kwa hao wawili, ni heri kumtaja Giroud kama main striker.
Huyu Morata tukifanikiwa kumuuza itakuwa poa tu. Tutafute striker mwingine.
Hapo hapo unasikia tunamtaka Higuain. Unafhani kutakuwa na nafuu yoyote?
Round hii hata Fulham itawafungaC tulishamuuza, basiii...!!!!
Fulham wamemsajili SchurrleRound hii hata Fulham itawafunga
Tunamkosa huyuApparently Golovin is headed to Monaco for his medical tomorrowo.
Let's wait and see...
Bakayoko yupo uwanjani huku muda huuItakuwa vizuri sana. Vip kama tukimpata Martial koz Jamaa hataki baki man u msimu ujao