Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Nmesoma pumba zako. Unachekesha kwan Chelsea alichezesha first eleven yake?Kwani ukifungwamo CARABAO ile UNBEATEN
yako EPL inakua inaondoka???? Mmecheza na
LIVERPOOL MABORESHO ile jana..... Hivi nyie
WOWOWO mmeshawahi kushinda ALLISON
BECKER akiwa Golini???
waulizeni wenzenu SPURS watawaambia
LIVERPOOL ni timu ya aina gani inapofika
kwenye EPL msimu huu..... Hivi vikombe vya
kucheza FAINALI tumeamua kuachana navyo coz
havisaidii vibarua vya watu
...... Kwani unadhani MORINYO hana CARABAO
CUP lakini MANURE wanataka kumtimua???
WENGA msimu uliopita alicheza FAINALI ya
CARABAO CUP baadae wakamtimua aseee.....
Hakuna kombe Fainali yake ikachezwa
FEBRUARY buana nyie WOWOWO...... Tukutane
JUMAMOSI mkiwa na kila mtu na cc tukiwa na
Watu asee
Kwani ukifungwamo CARABAO ile UNBEATEN

They are losers by natureKhe khe khe khe kheeeeee
Jana mlikuwa na manyani uwanjani?
Bitter loser.
😀😀😀😀😀 Chelsea Fans in DenialWhat a pride, what a feeling being a #Chelsea fan.
Liverpool had not lost a match at Anfield since January 2018 and other short stories.
Good morning haters( Chelsea fans in denial)
Jumamosi sio mbali mkuu Tusubiri tumuone Alison alivyoKwani ukifungwamo CARABAO ile UNBEATEN
yako EPL inakua inaondoka???? Mmecheza na
LIVERPOOL MABORESHO ile jana..... Hivi nyie
WOWOWO mmeshawahi kushinda ALLISON
BECKER akiwa Golini???
waulizeni wenzenu SPURS watawaambia
LIVERPOOL ni timu ya aina gani inapofika
kwenye EPL msimu huu..... Hivi vikombe vya
kucheza FAINALI tumeamua kuachana navyo coz
havisaidii vibarua vya watu
...... Kwani unadhani MORINYO hana CARABAO
CUP lakini MANURE wanataka kumtimua???
WENGA msimu uliopita alicheza FAINALI ya
CARABAO CUP baadae wakamtimua aseee.....
Hakuna kombe Fainali yake ikachezwa
FEBRUARY buana nyie WOWOWO...... Tukutane
JUMAMOSI mkiwa na kila mtu na cc tukiwa na
Watu asee
Kwani salah na firmino jana hawakuingia dimbani mkuuLiverpool anampiga Chelsea Jumamosi,hamna team pale jamani tuwe wakweli
Kweli Luizi na Rudiger ndiyo wakumzuia Booby na Salah wanaunguruma?
Keita, Milner, Henderson jana wote walikuwamoNawaza na kutafakari itakavyokuwa...ni mapema mno ila...
**nimesahau midfield ya Liverpool iliyoshinda mechi tano ilikuwa na kina nani...
View attachment 879484
Keita, Milner, Henderson jana wote walikuwamo
Kilio chao ni bekiKwahiyo inaweza kuwa;
Wijnaldum - Milner - Keita
AU
Wijnaldum - Henderson - Keita
AU kuna formation nyingine wanaweza kucheza hapo kati???!
Halafu kule mbele
Yaaaniii....
View attachment 879488
Sidhani kama Milner na Henderson wanaweza kuanza pamoja.Keita, Milner, Henderson jana wote walikuwamo
Kilio chao ni beki
Trent, Vvd, Gomez, robatson hizi ndio wanasema beki zao bora bila kumsahau Alison