Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Daah ni changamoto sana mkuu. Ngoja ifike January tuone itakuaje. Nyie foward yenu sidhani kama ni butu kiivyo. Ni suala la muda tu Bobi na Salah wanarudisha moto waoNi Kawaida Katika Mpira Unaboreka Sehemu Moja na Kuwa Weak Sehemu Nyengine...
Msimu Uliopita Foward Yetu ilikuwa Haishikiki lakini Kipa na Beki ilikuwa Mbovu balaa...
Msimu Huu Kipa na Beki Yetu Nzuri sana Lakini Forward imekuwa Butu manake Salah na Mane Wanakosa Goli tupu...
Kwahiyo Na Nyinyi Midfield Muko Vizuri lakini Forward butu.. Siku Forward ikiwa imara utakujakutia Midfield au Beki haitazamiki.
Hiyo ndiyo Soccer.
Daah ni changamoto sana mkuu. Ngoja ifike January tuone itakuaje. Nyie foward yenu sidhani kama ni butu kiivyo. Ni suala la muda tu Bobi na Salah wanarudisha moto wao
Ulinifunga kwanguJinsi ambavyo nimekasirika siamini washabiki wa Liver mlivyojaa humu.
Sasa sijui nani kafurahia draw kati yenu na sisi.
King Ngwaba, how have I lost to you? In two games, nimekufunga moja na draw moja. How is that a win to you unless today's draw was counted a win kwenu.
Malafyale, liverpool iliyokamilika ndiyo tuliyoipelekesha first half na kuifunga. Inashangaza ambapo leo Shaqiri na Sturridge mnawataja kama liverpool iliyokamilika.
Anyway, hongereni kwa ushindi kwa kweli.
Sasa mimi nauliza swali moja,liverpool iliyokamili haiwezi kufungwa na Chelsea,na je kwa hyo Liverpool iliyokamili haiwezi kuifunga Chelsea pia?Hivi kumbe kuna liverpool kamili na isiyokua kamili.?
Nisaidie kuielewa hii logic yako;Ulinifunga kwangu
Inakuaje ushindwe nifunga kwako?
Kaka hii ni EPL,bado hauna kikosi cha kunifunga mm kamili EPL
Lkn mwakani mtakuwa na team nzuri sana sio mwaka huu,hauna beki za kati
Jinsi ambavyo nimekasirika siamini washabiki wa Liver mlivyojaa humu.
Sasa sijui nani kafurahia draw kati yenu na sisi.
King Ngwaba, how have I lost to you? In two games, nimekufunga moja na draw moja. How is that a win to you unless today's draw was counted a win kwenu.
Malafyale, liverpool iliyokamilika ndiyo tuliyoipelekesha first half na kuifunga. Inashangaza ambapo leo Shaqiri na Sturridge mnawataja kama liverpool iliyokamilika.
Anyway, hongereni kwa ushindi kwa kweli.
[emoji23] [emoji23]Leo nimeona umuhimu pedro,katoka William kaingia Moses kuruka ruka
Well said mkuuKipindi cha kwanza hamna mlichocheza, na mmeanza kuonekana dk y 70+ ambapo ni kawaida kwa timu iliyopoteza mchezo, hata mechi ya juzi mlipoteana hivyo hivyo
Lete tuone mkuuNgoja tukuletee stats za first half[emoji16]
Ila Liver ana timu ya kumfunga Chelsea?Huna team ya kumfunga Liverpool kamili
Sio Carabao hii
Hahahaha uko sawa mkuuIf we had Pedro today matokeo yangekuwa tofauti , conversion rate ya Willian ni ndogo sana, anyways ukiona timu iliyoshinda mechi zote inafurahia draw unajua tu wametokea tundu la sindano
Hahahaha Liverpool kamili ndio ipi mkuu ambayo imemfunga Chelsea msimu huu?Yaani Mentor unakaa mbele ya TV una amini kabisa kuwa Liverpool kamili anapoteza kwa Chelsea?
Really?Acha utani ndugu yangu!
Ingieni mitaani kushangilia ushindi wenu
hatushabikii ushindi tunajilaumu kukosa kuchukua points 3 zote hapo kwenu wkt uwezo tunao.Narudia tena ,kama wewe ni shabiki wa Liverpool na uko hapa kushabikia "ushindi" wa timu yako YOU ARE RETARDED
Ungekuwa unaongea hivi ikiwa imeshafika December ningekuelewa..Willian kakosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Hazard katukosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Mane kakos ala wazi sana dakika ya 57 kacheza kipa wao
Shaqir kakosa kuunganisha tu dakika ya 70
Boby kakosa la wazi sana dakika ya 73 kaokoa Luizi kwenye mstari
Liverpool tulistahili kushinda
Maneno ya Hazard baada ya mechi kuwa wapo very close kufikia quality ya Liverpool na Man City ni kweli!
Mwaani mtakuwa wazuri sana,mwaka huu mtarudi tu champion league kuchukua nafasi ya Man u
Mwaka huu mbio za ubingwa ni Liverpool na Man City