eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Modric alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyoWe hazard kafanya nini kombe la dunia??
Kama uliangalia europa league katikati ya wiki Christensen na Cahill walikuwa na makosa mengi sanaKama kocha amegundua hili itakuwa ni vizuri sana.
Angejaribu hivi
Azp Kristiansen Rudger Alonso
Halafu Luiz awe anatokea bench kum backup Kristiansen.
Kati amuweke...
Kante Jorgihno Kovavic
Barkley awe sub ya Kova.
Mbele amuweke...
Hazard Giroud Willian
Pedro awe backup ya Willian na Morata/Ruben wawe backup ya Giroud..
Pia kocha ajaribu kuwapa nafas Odoi, Emerson, Ampadu..nk
Odoi Ampadu kuna match za kuwapa sio za kwenye EPL bado Odoi ana Utoto mwingi angalau Ampadu ana kitu tena akicheza kama kiungo au beki ya katiKama kocha amegundua hili itakuwa ni vizuri sana.
Angejaribu hivi
Azp Kristiansen Rudger Alonso
Halafu Luiz awe anatokea bench kum backup Kristiansen.
Kati amuweke...
Kante Jorgihno Kovavic
Barkley awe sub ya Kova.
Mbele amuweke...
Hazard Giroud Willian
Pedro awe backup ya Willian na Morata/Ruben wawe backup ya Giroud..
Pia kocha ajaribu kuwapa nafas Odoi, Emerson, Ampadu..nk
Huyo anapigwa vizuri tu leoLeo mnacheza na Burnley, wanajulikana walivyo wagumu kwenye uwanja wao wa nyumbani.
Ninawatakia kheri ili mshinde tusiachane mbali mbali na mwendelee kutupa hamasa ya kuendelea kufanya vizuri.
Kikao cha harusi au kikao gani mkuu
Huyo anapigwa vizuri tu leo
Kikosi cha sarri kinajulikana siku zote kwenye EPL labda kuwe na majeruhiKepa
Azpilicueta... Rudiger... Christensen... Alonso
Kante... Jorginho... Kovacic
Pedro... Giroud... Hazard
NB
Alonso anacheza kama no 10 anapanda. Na Luiz vile vile. Ule upande wa kushoto unakuwa empty (vs Man u Mata akatoa cross) ndo maana Christensen ni bora awe anaanza kwa sababu anajua kukaba lakn hana aggressive na Leadership kama kwa Luiz.
Kwa game ya Leo (vs Burnley) Luiz (niliona post yake Ig anatibiwa juzi alipata injury mazoezin) na Barkley wanaweza kuanza.
Hahahh hicho kiti ni cha kikao cha harusi mkuu?Kikao cha harusi au kikao gani mkuu
Kikosi cha sarri kinajulikana siku zote kwenye EPL labda kuwe na majeruhi
Kepa
Aspi
Alonso
Luiz
Rudiger
Kovacic/Baklay
Jorginho
Kante
Wilian/Pedro
Morata/Giroud
Hazard
[emoji3] [emoji3] nilijua tuHahahh hicho kiti ni cha kikao cha harusi mkuu?
Giroud hapana kwa sababu match ya europa league aliniuzi sanaWishful thinking inaruhusiwa.
Luiz labda apate majeruhi ndo hatocheza.
Labda tu kwa leo natamani Giroud na Pedro waanze.
Odoi Ampadu kuna match za kuwapa sio za kwenye EPL bado Odoi ana Utoto mwingi angalau Ampadu ana kitu tena akicheza kama kiungo au beki ya kati
We jamaa unazingua kwenye ligi mpka sasa unamlinganisha messi na huyo jamaa kwa kipi acha unazi mkuu.Form ya messi kabla ya kuumia mkono siyo ya kitoto man.Modric alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyo
Hazard alishika nafasi ya pili na kuchukua mpira wa silver [emoji471]
Griezman alishika namba tatu
Acha ubishi mkuu
Hata kwenye league zinazoendelea bado messi hajafikia ubora wa hazard tangu kombe la dunia liishe
Sikupingi mkuu ila dribble za odoi zimejaa Utoto mwingiOdoi ana utoto!!! Game vs BATE (Odoi amecheza dakka 30 vs Willian (alitoa assist) dakka 57) Lakini me naenda kwa Odoi awe anaanza. Willian anapoteza mipira, too slow, anapooza mashambulizi. Odoi ni umeme nyie kuanzia dribble zake ni hatari. Rating (Willian 8.3 ile assist imemsaidia na Odoi 7.2) kwenye finishing kila mtu anajua Willian alivyo ha ha hah.
Giroud hapana kwa sababu match ya europa league aliniuzi sana
Hapo labda morata na Pedro
Wilian aanzie bench
Kwani mara ngapi messi anawekwa mfukoni na barca inaishia kutoa sare kwenye matchWe jamaa unazingua kwenye ligi mpka sasa unamlinganisha messi na huyo jamaa kwa kipi acha unazi mkuu.Form ya messi kabla ya kuumia mkono siyo ya kitoto man.
Alaf huyo aliyewekwa mfukon na young huwa hawezi shoo za kikubwa huwa anajua kudrible kwa vitoto tu.
Waliishia kwenye kundi la 16 baada ya kuwafunga Nigeria kwenye mechi ya mwisho ya Kundi kwa magoli 2:1 limiwemo la Messi dk ya 14 na Rojo dk ya 86. Argentina ilitolewa na France yakiwemo magoli mawili safi ya Kylian MbapeMessi pamoja na Argentina waliishia hatua ya makundi.
Heheheh...Giroud ana link up nzuri ni bahati ya magoli amekosa.Giroud hapana kwa sababu match ya europa league aliniuzi sana
Hapo labda morata na Pedro
Wilian aanzie bench