Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Huyo Alison kwa ubora upi alionao kila orodha za makipa zikitolewa Pickford ederson wako juu yake, any way sipendi ligi kwa sababu watoa orodha ni binadam kama weweDah! Kweli Siku Hazigandi aiseee! 😀😀
Hapa Katika Game 5 za mwanzo ilikuwa tafrani hapa Watu Kutiririka na Stats za Kuwa Kepa Ni bora kuliko Alisson...
Leo hii Munaanza Kummulika Pickford??
Anaitwa Kepa alizibuliwaga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo Alison kwa ubora upi alionao kila orodha za makipa zikitolewa Pickford ederson wako juu yake, any way sipendi ligi kwa sababu watoa orodha ni binadam kama wewe
Duuuh Morata na Giroud wote ni natural nnumber 10?Reeeeaaalllly?Kweli Nimeamini kipigo kinachanganyaa [emoji23][emoji23][emoji1324]♂️Japo jana spurs aliwakamata kila idara ukweli ni kwamba inabida mswitch kurudi kwenye ile formation ya 3-5-2 aliyokuwa akitumia Conte. Azpliquetta ameshindwa kufanya ile kazi aliyokuwa akifanya Moses, Japo Alonso anaonekana kupambana. Zile flank zimekufa
Ukiangali kwa makini utagundua kuwa tangu amekuja Sarri zile croos zilizokuwa zinapigwa na Moses na Alonso kwa sasa hazipo. Hivyo kwa aina ya washambuliaji wenu yaani Morata na Giroud inakuwa shida kufunga sababu cross haziji.
Wanategemea kupata mipira toka kwa Hazard na Willian ambao aina yao ya uchezaji inafanana. Wote wanapenda kudrible, kushoot, na akiingia Pedro naye anacheza kama hao wawili. Morata na Giroud wote ni natural number 10, yaani clinical finishers ila wanakosa support toka kwa Hazard na Willian.
Nini kifanyike. Moses arudishwe kikosini. Mrudi kwenye 3-5-2.
Poleni japo inauma.
Cc Jasho La Kuku
Ni manatural namba 10! Morata akiwa RealMadrid na Juventus nadhani wote mliona alichokuwa akifanya. Giroud kabla ya kuja Arsenal akitokea Montpellier alikuwa ni mfungaji bora kwenye legue 1. Alipokuja Arsenal naye hakuwa mbovu ki hivyo.Duuuh Morata na Giroud wote ni natural nnumber 10?Reeeeaaalllly?Kweli Nimeamini kipigo kinachanganyaa [emoji23][emoji23][emoji1324][emoji3603]
Sio hao tu, aliyekuwa nacheza ni Kante peke yake wengine ni kama ile mechi na BATEJognho luiz leo ni tatizo
Huu ni msiba sawasawa ma misiba ya jirani, uzuri wa msiba utamkuta kila mtuDah! Maisha yanakwenda Kasi Kweli!!! 😀😀
View attachment 945319View attachment 945320
eden kimario
Southern Highland
Ollachuga Oc
Antonio Conte
Mentor
hazard cfc
ryana fan
lembu
Ninawasalimia tu wakuu habari zenu?
Huyo Alison kwa ubora upi alionao kila orodha za makipa zikitolewa Pickford ederson wako juu yake, any way sipendi ligi kwa sababu watoa orodha ni binadam kama wewe