Afadhali kama kaliona hilo, kumchezesha Kante forward it was a wastage of resourcesSarri :'N'Golo Kanté should be moved to the defensive mid position, whether that means pushing Jorginho forward or playing a 4-2-3-1 with both Jorginho & Kanté partnered together. It's clear my system isn't really working, so it's worth playing Kanté in his natural position for now.
This is a coach that wants to improve ! 👏🔵
Ndugu sijakataa usajili, nimeongezea tu hapo pamoja na usajili mentality na approach ya timu ni muhimu. Spurs hawakutufunga kwa sababu wao wana wachezaji wazuri kuliko sisi, ila walitusidi kwa wao kucheza kwa nguvu nyingi mwanzo mwisho. Chelsea kwa michezo takribani mitatu iliyopita tumekuwa tukicheza kimayai mno na tatizo la msingi ni hapo. Ni kweli Morata viatu vimempwaya, Alonso anafaa zaidi kuwa winger, Nashukuru kwa sababu kocha ana mpango wa kumrudisha Kante katikati wacheze formation ya 4-2-3-1 ili kwenye mbili pale Jorginho na Kante wacheze pamoja. Usajili wa Mabeki na Strikers is a mustTimu ikishakabwa imeshakabwa mjomba Long balls wachezaji wa Chelsea sio wazuri. Usajili haukwepeki kwa nafasi ya namba tisa na winga mwingine mmoja.
Aaron Wan-Bissaka huyu kijana sina uhakika kama atacheza Crystal Palace next seasonAaron Wan-Bissaka's tackling in the Premier League this season:
• 55 attempted
• 50 made
• 5 fouls
Unreal in 1v1 situations.
Azpilicueta anazidiwa na huyu dogo kwa kila kitu. Upande wao wa kulia ni wazuri kuliko sisi. (Bissaka na Zaha) (Azpilicueta na Willian)
Aaron Wan-Bissaka huyu kijana sina uhakika kama atacheza Crystal Palace next season
[emoji16][emoji16][emoji16]Genaro Gattuso:
"I don't know anything about the Ballon d'Or nominations, but for all Bakayoko has done he would deserve it."
Nmecheka