Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Mchawi wa Chelsea kufikia hadi hapa leo hii tulipo ni CONTE.
Utamuuzaje COSTA nakati ubingwa wa EPL tuliochukua 2013-2014 alikuwa na magoli 24, pia 2016-2017 ni huyo huyo tena COSTA alikuwa na magoli 22?
Chelsea kuingia top 4 ni ndoto kabisa za abunuwasi Machifu.
Yale mapasi yake huyatakiJOGNHO NI TATIZO KUBWA MAMAME
🙄🙄🙄🙄🙄🙄 whattttttttt?this is klesoft kind of povu......hii sentensi yako inanikumbusha lile gazeti la kitamboooooo lililokuwa na katuni wa ustake ncheke na bingwa wa rivasisio shaihi jognho kukosa si kesi je chance na kuzua jognho had wazungu wanamlilia ni mbovu
Sijui why Chelsea waliacha kuchukua deal la willian poor performance this season awe anatokea benchPoor result , but it's a wake up call we needed to find a decent striker..
pasi hukabi s n uj... kabisaYale mapasi yake huyataki
Huna lolote, kabla ya mechi ulikuwa wapi unajisogeza tu baada ya mechi?Sarriball ya nyoko!!!!