interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Kwani wewe unaona tatizo la Man U liko kwa wachezaji na Makocha wanaokuja sasa hivi tu?Sasa Conte si mmeshamtimsha?
Hivi bado mnapiga pasi nyingi au nazo zimeyeyuka?
we liver mwenzangu angalia ucje kunyang'anywa visa ya kuingilia hili jukwaa yani unadhihaki wenyeji!Sarriball ya nyoko!!!!
πSarri MabangiSarriball ya nyoko!!!!
Sijui why Chelsea waliacha kuchukua deal la willian poor performance this season awe anatokea bench
Kuna Mambo 2 siwezi kuyasahau!
1) Pale Barcelona walipokuwa tayari kutoa Β£60m kwa Willian, Chelsea wakakataa mazungumzo na Barca.
2) Pale Mourinho alipotaka Kufanya Swap kwa Kutoa Martial to Chelsea ili apewe Willian, Chelsea wakampuuza Mourinho.
Nadhani Chelsea wanapaswa wajutie maamuzi yao hayo Mawili.
Pambana na hali yako huko, jitu hata mwaka wa mwisho LIVERFOOL kutwaa ubingwa wa EPL lilikuwa halijazaliwa lakini leo hii linajifanya kama ndilo lishabiki la kufa mtu kabisa mxiuuuuuu...!Habar zenu tunazo
Lizito, afu linataka likae sana na mpira mguuni siyo kama alivyokuwa Nemanja MaticJOGINHO master pass vip anakwama wp
usituletee za twitter issue ni jognho mbovuAlonso na Willian ni tatizo kubwa Chelsea.
It seem as we don't have character to react vigorously when we are 1 nil behind ,so if opponent leads us then we are total finished ,what kind of players without spiritPoor result , but it's a wake up call we needed to find a decent striker..
Ollachuga Oc
Njoo jiran yangu, najua kufungwa kubaya, hasa wewe mwenye roho nyepes , unajipiga ban au ukiingia jf unapitiliza jukwaa la siasa na MMU
Ulivyo fyonzaa umefanana na manzi angu na yy huwa anafanya hivyo hivyoPambana na hali yako huko, jitu hata mwaka wa mwisho LIVERFOOL kutwaa ubingwa wa EPL lilikuwa halijazaliwa lakini leo hii linajifanya kama ndilo lishabiki la kufa mtu kabisa mxiuuuuuu...!
LAKINI binafsi napenda Liverpool atwae ubingwa ili kidogo yule Kocha namba 1 kwa ubaguzi sana wa rangi duniani(Pep Gadiola) aiheshimu ligi bora duniani.
Poor result , but it's a wake up call we needed to find a decent striker..
Yule kenge tu yule misifa kibao bichwa likamzidi uzito linabolongaLizito, afu linataka likae sana na mpira mguuni siyo kama alivyokuwa Nemanja Matic
This game proves:
- We need more goalscorers in this team
- Willian shouldn't start a game for Chelsea again
- Hudson-Odoi > Willian
- Kovacic is good but hasn't got that needed goal-scoring threat
- 3 points lost
- Kepa outstanding
- Give Emerson a chance
Disappointing result
Yule kenge tu yule misifa kibao bichwa likamzidi uzito linabolonga
Weka COVAC rudisha KANTE 6
Joginho ale bench
Wenzio humu walikuwa wana msifia kwa kupiga pass zaidi 180 kwa mechi tukawaambia anapiga useless pass pass ambazo hazina Assist wala Key pass ni upumbavu tu hawakuelewaLizito, afu linataka likae sana na mpira mguuni siyo kama alivyokuwa Nemanja Matic