Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Pol^eee[emoji23][emoji23] basi nawapa vijana wa Vicarage Road karata yangu
Deulofeu Plus Pereyra leo natabiri mjadala wa uzuri wa Alonso utashika kasi sana hapa
Please who can remember how it happened the last time Chelsea played away at Watford. [emoji28][emoji28] 83 minutes Watford 1:0 Chelsea
84 mins Watford 1:1
Full time Watford 4:1 Chelsea.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kepa leo ajiandae kugaragazwa
Yani Chelsea mnacheza sawa na hao Watford. Yan mnasukuma tu mpira uende mbele. No ambition, no aggressiveness ya kutaka ushindi wala goli. Yani mpompo tu
Eden Hazard:
"101 goals with this amazing club is something I will never forget. Now me, the fans and this club want more. I will try to be a legend like Terry, Drogba and Lampard."
Sign him up! [emoji838]
Hili nimelisema mara kadhaaExactly
Uoni tulichomfanya man city?? Saiv anafungwa fungwa tu ovyo.Watani hongreni sana!
Ingawa kwa sasa kiwango chenu kucheza na Majogoo ni kidogo mno lkn Champion League mwakani mnarudi
Vipi bado hamyaogopi Majogoo?
Ameshaiambia Chelsea ifanye swapp ya Higuan na Morata haraka sanaSarri's interview before the game: "Morata is fit to play, but it's my choice to go with Eden"
.
[I guess it pretty much explains that Sarri doesn't trust Morata anymore and wants him out. .]
Mnawanga kila siku mnaishia kuumbuka wenyewe. Pole kijanaWatford win or draw
Come on Watford!!!
AsanteMnawanga kila siku mnaishia kuumbuka wenyewe. Pole kijana
Atleast top four na yale mengine nayopigania. Wewe makombe uliyopo huna hata uhakika kama utaligusa.Asante
Hatuumbuki kila siku, kwa mfano game yenu na leicester hatujaumbuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Kombe lenu saiv ni top 4
Atleast top four na yale mengine nayopigania. Wewe makombe uliyopo huna hata uhakika kama utaligusa.
Ngoja Jan uone moto wake. Hammalizi jan mshashushwa hapo.
Mkuu Higuain wa nini Chelsea.? Mimi naona hana tofauti na Morata. Hata kama ni usajili wa Jan ila bado sioni kama anatufaa, toka Oct hajagusa nyavu.Ameshaiambia Chelsea ifanye swapp ya Higuan na Morata haraka sana
Higuan anfit kwenye formation ya Sarri, akiwa nae Napoli 2015/16 alitumbukiza magoli 36 kwa msimu mmoja. Nafikiri angalau anaweza kuwa suluhisho la muda mfupiMkuu Higuain wa nini Chelsea.? Mimi naona hana tofauti na Morata. Hata kama ni usajili wa Jan ila bado sioni kama anatufaa, toka Oct hajagusa nyavu.