Sema inasikitishaa kubaki mpaka msimu uishe make usajili huu ulikuwa bora kwa sasa hasa kwa kuwa huyu mtu anaweza /ni mbadala wa wiliam na pedro ...sijui kwa nini wameafikiana hivo ...au ndo yale boss anataka menejaa hataki kwa sasaOFFICIAL: BVB have confirmed that Christian Pulisic has joined Chelsea in a €64m deal that will see him loaned back to Dortmund for the rest of the current season.
Sent using JF For iPhones
Mngekuwa na macho msingeshidwa kubeba ubingwa miaka 29 yote.Yani nyie wajinga mna tamaa sana, yan kila mchezaj ambaye liver anaonesha interest na nyie lazima mumtake. Hii ndio sababu team yenu inafeli sana sababu hamna macho ya kuona nani anawafaa ila mnasubir mpaka wengine wamuone nyie ndo mumuone.
Hao wachezaji walitafutwa na Emenalo kabla hajaondoka, au hata mstari mmoja huwezi kuusoma na kucomprehend context?
hapana mkuu...hii ilikuwa miongon mwa club target ya mda mrefu...business oriented.. kuteka america fan base...nike walicheza sehem kubwa kwa hii deal2015/16 goals 2 assist 0
2016/17 goals 3 assists 8
2017/18 goals 4 assists 6
18/ so on goal 1 assists 2
huyu Pulisic tumepigwa kweupe halafu kanunuliwa kwa pesa mingi wakati mkataba wake unaishia vile vile karudishwa BVB kwa mkopo
Sarri sio kocha ni msimamia mazoezi, time will tell
hahah williun hahahhjajajajajaj MEMKWA IRUDISHWEChristian Pulisic; karibu darajani japo mwez wa nane mbali sana
Kutokana na kuonekana upepo kukata kwa Williun na Pedro, huu usaji ulikuwa bingo sana kumalizia msimu kwa Chelsea.... Okay...! Kwa sasa Hazard na Kante ndio waendeshaji wa mashambulizi kwa Chelsea(inawezekana Sarriball iliwahitaji pia Williun na Pedro kwenye kuendesha timu kwenda mbele).
Kuna wakati timu inamuelemea zaidi Kante, vivyo hivyo kwa Hazard. lakini pia kuna wakati timu inahitaji mtu wa kumsaidia Hazard, haswa kutokana na mara kadhaa amekuwa drafted kama mshambuliaji wa katikati.... Pulisic ni suluhisho kwa sasa.
Pulisic angeichukua ile flank ya kulia, kushoto awe mwenye timu Hazard na katikati aendelee kuendesha Kante..... Hii ingekuwa na faida sana kwa Chelsea kuelekea kuumaliza msimu kwa tumaini la kujikita zaidi ndani ya top 4.
Huyu ni mtu sahihi sana kama mbadala wa Pedro na Williun msimu huu. Bado sijaijua target ya Marina Granovskaia, inawezekana Sarri hana shida na miguu ya bwana mdogo huyu kwa sasa, au inawezekana hizi ni miongoni mwa zile sajili za Boss himself.
Hilo lingine naweza kukusikiliza ila kusema Sari ni msimamizi wa mazoezi unakuwa wrong kabisa2015/16 goals 2 assist 0
2016/17 goals 3 assists 8
2017/18 goals 4 assists 6
18/ so on goal 1 assists 2
huyu Pulisic tumepigwa kweupe halafu kanunuliwa kwa pesa mingi wakati mkataba wake unaishia vile vile karudishwa BVB kwa mkopo
Sarri sio kocha ni msimamia mazoezi, time will tell
Hata mzigo mliotoa mmepigwa pia £ 58 ml kwa mchezaji mwenye mkataba unaoisha 2020 ni nyingi mno but the way Pulisic bado ni Average player sana.Ila huyu jamaa nna wasiwasi nae sana nikiangalia statistics zake. Ufungaji wa magoli. Labda aje kubadilika Chelsea kwa sababu ana 20 yrs.
Chelsea sasa hivi inahitaji winger mwenye end product (magoli). Fekir angefaa sana
Hata mzigo mliotoa mmepigwa pia £ 58 ml kwa mchezaji mwenye mkataba unaoisha 2020 ni nyingi mno but the way Pulisic bado ni Average player sana.
Upo sahihi kabisaIla huyu jamaa nna wasiwasi nae sana nikiangalia statistics zake. Ufungaji wa magoli. Labda aje kubadilika Chelsea kwa sababu ana 20 yrs.
Chelsea sasa hivi inahitaji winger mwenye end product (magoli). Fekir angefaa sana