Kwa upande wa uchezaji sio kimafanikio maana hawa walikuwa wakimponda kwamba kocha gani hajacheza mpira ambae ni mourinho sasa wameletewa sarriUsimdharau Mourinho mpaka kufikia Kumfananisha na Sari kama Wanavyofanya wenzio kumfanya OGS kuwa ni bora kuliko Mourinho.
Mou hajafika Level za kina Anceloti na PEP lakini atabaki kuwa ni Best Couch miongoni mwa Makocha Walio active kwa sasa.
Usiihukumu Timu kwa tetesi za Magazetini.
Hivi unadhani Chelsea ni Wajinga Kufikia Kuzikataa £60m za Barcelona kwa Willian?
Hapo ndiyo ujue kuwa Bid ile haikuwa na ukweli Bali ni tetesi za Magazeti.
Nakuhakikishia ikitoa timu ikibid £40m kwa Willian basi Chelsea inamuuza.
Kwahiyo hiyo Bid ya Malcolm + Cash = €50m ni tetesi tu za magazeti lakini sio Bid rasmi kwamba imeletwa kweli.
Itakapoletwa hiyo basi Chelsea watafanya Swap hapo mchana kweupe.
Mmeanza dharau sasa. Na wakati wewe ndio ulikua mtetezi mkubwa wa Mou[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo sawa na mourinho?
Ndio nilikuwa mtetezi wake lakini nauliza na yeye sarri hakucheza mpira kama mourinho ulivyokuwa ukisema?Mmeanza fharau sasa. Na wakati wewe ndio ulikua mtetezi mkubwa wa Mou
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wa uchezaji sio kimafanikio maana hawa walikuwa wakimponda kwamba kocha gani hajacheza mpira ambae ni mourinho sasa wameletewa sarri
Ndio nilikuwa mtetezi wake lakini nauliza na yeye sarri hakucheza mpira kama mourinho ulivyokuwa ukisema?
Kocha mhamasishaji mourinho hakucheza mpira si ndo mlivyokuwa mnamuita sema ma uzi mengi ningekuletea
Kocha mhamasishaji mourinho hakucheza mpira si ndo mlivyokuwa mnamuita sema ma uzi mengi ningekuletea
Si ulikuwa unasema hao youngsters wanafanya many mistake hawafahi kuchezeshwa?Nimemcheki Tammy Abraham akicheza Aston Villa a real wonderful striker, Chelsea ina hazina kubwa ya wachezaji chipukizi inatakiwa iweke plan nzuri ya kuwatumia la sivyo wanaweza wasiwafaidi
Reference yangu kubwa ni Andrease na sikuwa na maana wasipewe nafasi kabisa, Karabao, UEFA ndogo inatosha kabisa kujuwa kuwa wanaweza kumudu mikiki ya EPL, mfano ODOI na Loftus Cheek wameproove kuwa wanaweza kupewa namba angalau substituteSi ulikuwa unasema hao youngsters wanafanya many mistake hawafahi kuchezeshwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Willian to Barcelona Transfer Saga
Barcelona are considering making a second bid for Willian after a £50M+Malcolm bid rejected by Chelsea last night
My take
Hivi Barca wameona nini kwa Willian kiasi cha kuwa desperate kumsajili kwa dau kubwa kwa mchezaji wa miaka 30?
Pia Chelsea (Sarri) wameona nini kwa Willian kiasi cha kukataa dau kubwa kwa mchezaji wa miaka 30?
Hili ndiyo tatizo la kuchukua Habari za Magazeti na twitter ukazifanya ndiyo Confirmed News kutoka kwenye timu!!
Hivi Unawafanya Barcelona ni Wajinga kiasi hicho watowe £50m + Malcolm kwa ajili ya Willian?
Nadhani umesahau kuwa hata Coutinho aliyekuwa gumzo basi ni Mchezaji wa Hakiba Kule Barca, then waje watoe £50m + Malcolm kwa Willian ambaye Hata Sib hana nafasi ya kucheza Kyle Barca?
Na unadhani Abramovic ni Bashite wa Kukataa £50m kwa Willian??
Hebu itokee hiyo timu itoe hizo hela uone kama Abra ataziacha.
Nakuhakikishia Haitotokea timu ikazidi £30m kwa ajili ya Willian.
Jaribu Kufatilia Habari kutoka Vyanzo vya timu husika pamoja na wakala wa mchezaji husika.
Nimejaribu Kupitia Mtandao wenu wa Timu na Sarri ameyazungumza haya.
View attachment 992511
Maurizio Sarri on Willian and Alvaro Morata future, and public Bayern pursuit of Callum Hudson-Odoi | Official Site | Chelsea Football Club
Usimdharau Mourinho mpaka kufikia Kumfananisha na Sari kama Wanavyofanya wenzio kumfanya OGS kuwa ni bora kuliko Mourinho.